Msanii Harmonize kupitia lebo yake ya Konde Gang ametoa taarifa kuhusu wimbo wake mpya “Beautiful”, baada ya kuondolewa kwenye mtandao wa YouTube.
Kupitia taarifa hiyo, Konde Gang imesema wimbo huo umeondolewa YouTube kutokana na madai ya hakimiliki (copyright claim) yaliyowasilishwa na mtu mwingine.
Lebo hiyo imeeleza kuwa timu yake tayari imeanza kufuatilia suala hilo kwa karibu na kuchukua hatua zinazohitajika ili kulitatua.
Harmonize na Konde Gang wamewaomba mashabiki kuwa na subira wakati suala hilo likishughulikiwa, huku wakiendelea kuwashukuru kwa upendo na sapoti yao.