MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Hata kama hajaimba kipande kikubwa kwa peke yake, ajitahidi kutumia hii nafasi kujifunza. Huyu dada ni msanii mkubwa na mwalimu mzuri sana wa muziki.Hua naziheshimu sana MB zangu ila kwa huu wimbo binafsi nimedownload Nyimbo sahihi kwa wakati sahihi...mond ana ya kujifunza sana toka kwa wasanii wakubwa duniani humu kakaza kinoma alafu sauti classic sana...kifupi kaua kinoma
We jamaa ni foo sana haujui hata unaongea nini yani alicia atafute fan base africa kupitia diamond ? Unamjua kweli alicia keys au unaropoka tuAsee ndio kaimba nini hapo, kumbe alicia na mme wake ni wajanja nia yao ilikuwa sii diamond bali ni fan base kutoka Africa
Wewe mama ngoja tu nikujibu, alicia kupitia diamond ataongeza fan base kubwa tu akianzia hapa bongo. Usidhani kila mtu anafatilia mziki wa marekani. Mfano mzuri ni watu wangap walikuwa wanamfatilia miri ben ari before kutoa ngoma na diamond.We jamaa ni foo sana haujui hata unaongea nini yani alicia atafute fan base africa kupitia diamond ? Unamjua kweli alicia keys au unaropoka tu
Upo sahihi Sana. Good.Wewe mama ngoja tu nikujibu, alicia kupitia diamond ataongeza fan base kubwa tu akianzia hapa bongo. Usidhani kila mtu anafatilia mziki wa marekani. Mfano mzuri ni watu wangap walikuwa wanamfatilia miri ben ari before kutoa ngoma na diamond.
Kuna watu wamewafahamu neyo, omario, rickross kupitia diamond hata morgan heritage wangapi walikuwa wanawafaham hapa bongo?
Halafu usitake kila mtu aandike kitu kinacho kufurahisha kila mmoja abaki na anacho amini,
KIBA KATOA WIMBO NA JAY Z ILA UPO KWAKE ANASIKILIZA NA NDUGUZE
Hapend kujionesha
We jamaa una poor thinking kabisa kama humjui alicia keys,rickross ,omarion na neyo kiufupi kwenye ramani ya muziki hujui unachokijua hawa jamaa ni unavoidable kabisa utakuwa unasikiliza nn sasa ? Huezi ukaniambia eti kuna mtu mpenda mziki awajue hawa majamaa kupitia diamond hell no hata kama ni kupata fan base huezi niaminisha mtu mwenye fan base world wide eti apate fan base kwa mtu anayesikika only africa na few huko duniani labda kama unafikiri kutumia matakoWewe mama ngoja tu nikujibu, alicia kupitia diamond ataongeza fan base kubwa tu akianzia hapa bongo. Usidhani kila mtu anafatilia mziki wa marekani. Mfano mzuri ni watu wangap walikuwa wanamfatilia miri ben ari before kutoa ngoma na diamond.
Kuna watu wamewafahamu neyo, omario, rickross kupitia diamond hata morgan heritage wangapi walikuwa wanawafaham hapa bongo?
Halafu usitake kila mtu aandike kitu kinacho kufurahisha kila mmoja abaki na anacho amini,
Acha kupaniki tunajadili tu hapa usianze kutumia lugha za ovyoMkuu labda nifikirie kupitia matako ya mama yako kidogo naweza elewa kidogo
Amini unacho amini, huwezi badili mawazo yangu
Halafu kuna jamaa anasema alicia anatafuta fan base kupitia mond eti!Kuna sehemu hata kuingiza tu mguu ni ushindi.kuna wasanii wangapi wakubwa Africa zaid ya diamond lkn hawakupata hyo nafas.So ni hatua kubwa kwa diamond
Nani alieanza kutoa matusi?? Endelea kuisubiri hiyo radhi mpaka jua lizameBro narudia tena kwa heshima na taadhima nitake radhi kama mtanzania mwenzio tengua kauli yako kabla jua la leo halijatua narudia tena oooohooo watu wengi hatutukaniwi mama zetu bora unitukane mimi bro haki ya mungu umelipata unalolitafuta.