Wimbi la uvaaji wa nguo fupi kuongezeka

Mkibakwa Mnasema haki za binadamu, kaeni mkijua heshima ya mtu iko kwenye mavazi yake na muonekano hivyo vimini waachieni hao wasanii wa bongo
 
Kuna haja yakuli tizama hili kwajicho tofauti ujue tuna jiingiza katika dhambi bila yakujua.
Wanawake watuponza jama wana tuelekeza kwanye njia ya motoni .
 
Get a life and be busy,unakuwa idle kazi kufuatilie sketi fupi..
 
Get a life and be busy,unakuwa idle kazi kufuatilie sketi fupi..
Kazi ipo,ni ngumu kufikiria madhara ila yakisha kukuta ndio utakapoamini kuwa sio kitu kizuri kuvaa nguo fupi.
 
Wadau,

Nimeona nilete jamvini hii mada ili tuijadili. Miaka kadhaa ya nyuma serikali ilikuwa ikitoa matamko na makaripio makali juu ya uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake lakini nimegundua wimbi la uvaaji wa nguo fupi kuongezeka siku za hivi karibuni na naona serikali iko kimya kwenye hili.

Sikatai kuwa wanapendeza lakini tukiwa katika wakati huu ambapo tunapambana na ugonjwa wa UKIMWI serikali haioni kwamba vita hii haitakuwa na mwisho zaidi ya kutumia pesa nyingi kwenye mapambano ya huu ugonjwa kwani ni jambo lisilofichika kuwa baadhi ya sehemu ya miili ya wanawake inapoachwa wazi huvuta hisia za mapenzi kwa kushawishi tendo la ndoa kwa wanaume.

Nawasilisha.
ni balaaa sasa
 
sketi fupi zinakusumbua na ukiona aliye uchi si utabaka?
asiyejua aendako kila njia itamfikisha.
mavazi hayawezi kubadili msimamo wangu hata watembee uchi
 
aisee hii thread yoooooote picha moja tu? mi nimepita one page after another nakagua picha tu. Sasa mnaongea nn na huu ufupi wa nguo hamuwezi kuuonyesha ni kama upi hamuupendi na upi unafaa .. embu weken picha bana watu wajifunze
 
Kazi ipo,ni ngumu kufikiria madhara ila yakisha kukuta ndio utakapoamini kuwa sio kitu kizuri kuvaa nguo fupi.
Madhara yapi??hata yakiwepo ww unaumia nini??ebu kuwa busy basi na ishu zako,ukifuatilia binadamu utakufa kwa stress bure
 
Niko Zenji mwaka wa Tatu japo home ni Dar, huku bwana wanawake wanavaa hijabu tu japo siku hizi nao ni mtihani maana wanazibana sana na kuziwekea nakshi nakshi nyingi japo sio wengi kiviiile......... Sasa juzi Kati nikatimba Dar bwana Dah! Kila mwanamke machoni pangu nilikuwa namkodolea tu maana full display na ukizangatia wengi Wana mikia japo mingine fekero.... Kufika home shingo yote inaniuma kwa ajili ya kugeuka geuka, bahat nzur baada ya kukaa kama wk hiv nikawa naona kawaida tu hata siwakodolei kiviiiiiile.
 
aisee hii thread yoooooote picha moja tu? mi nimepita one page after another nakagua picha tu. Sasa mnaongea nn na huu ufupi wa nguo hamuwezi kuuonyesha ni kama upi hamuupendi na upi unafaa .. embu weken picha bana watu wajifunze
Hii ni aina moja wapo mkuu,nyingine hazifai kabisa maana hata Mods najua hawatakubaliana nazo.
 
Attachments

  • Gauni 3.png
    Gauni 3.png
    21.1 KB · Views: 31
Back
Top Bottom