Wimbi la jogging temeke: Nani anafadhili?

Wimbi la jogging temeke: Nani anafadhili?

Kyusi

Senior Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
130
Reaction score
81
Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?
 
Hiyo mambo ya jogging iko miaka mingi tu na wala haina uhusiano na wanasiasa na si temeke ni maeneo mengi nchini wanafanya hivyo ,kwa hapa zenji ni kila siku watu wakitoka msikitini alfajiri wanaunganishampaka beach kupasha then maisha mengine yanaendelea!
 
Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?

hats mimi nimeanza mazoezi ya viungo kuwakabiri mashetani ya ccm mwakani
 
Jogging Temeke imeanza miaka mingi sana, nadhani sasa imepata msisimko zaidi, lakini Temeke jogging club ilikuwa miaka mingi sana
 
Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?

CCM wanatafuta kura za vijana. This is cobfirmed. CDM kuweni macho hii ni mbinu kali sana.
 
Nilikuwa huko wiki iliyopita mitaa ya magorofani ni wengi sana nikambiwa huku kawaida kila jumapili
 
kila mtu,wazee na vijana ni muhimu ku jog. Ni nzuri kwa afya.
 
Mie ni mmojawapo wa waanzilishi wa makundi ya jogging huko TMK takriban miaka 15 iliyopita.ni jambo la siku nyiiingi sana.mambo hayo pamoja na gym,mazoezi ya ngumi,karate,etc,ni vitu vya kawaida kabisa uswazi.karibuni sana.
 
Njoo Ilala msimbazi rovers tunajogi kila jumamosi,na siku za kawaida,tupo kuanzia j4 mpaka ijumaa,njoo ujenge afya...
 
Ccm wana wa wash brain kama kipindi kile cha makempu kuja tahamaki ni kuzakisha wavuta bangi na mateja, vibaka
 
Ni hatari na ulimbukeni wa ubongo kama makundj ya watu wanakimbia barabarani je akitokea chizi anaendesha roli akawakanyaga wote itakuwaje nchi jiji hili tatizo kubwa vijana wengi ni wavuta bangi na viroba
 
Teh! Teh! Teh! sina hakika kama wakati unaandika haya hauko na influence ya hivyo viroba!!
 
sometimes wanakera wako kama 50 wanakimbia barabara nzima na kuzuia magari!!! hata mimi na-jog 4 times a week lakini sizuii magari najog pembeni.
 
huo ni mtazamo wako ww usiyejua faida ya hiyo kitu hadi umepelekea kuihusisha na masuala ya kisiasa zaid AFYA YA MTANZANIA aneyehofia kuuguua maradhi ya hapa na pale (maralia,kisukar n.k) inahusianaje na vyama(ccm,cdm,cuf n.k) kweli ww ni greatest thinkest(lol...)
 
Jogging Temeke imeanza miaka mingi sana, nadhani sasa imepata msisimko zaidi, lakini Temeke jogging club ilikuwa miaka mingi sana

Tusiishie kwenye jogging tu......tuweke mikakati ya kuanzisha club za riadha zenye ushindani......juzi nilitembelea kanchi kadogo kweli kweli...Bahamas.......kwenye mashindano ya mbio fupi fupi (IAAF World Relays).......nikakutana na Wakenya (nilishuhudia wakivunja rekodi mbili uwanjani), Waganda, na Waethiopia.......nikaishia kujivunia u-East Africa na kujichanganya na Wakenya.......trust me...everybody there was impressed by Kenyans new World records...na watu wengi wanataka kwenda Kenya......infact Kenya inajitangaza sana kiutalii kupitia wakimbiaji wake........

....nilijiuliza maswali mengi sana.......sisi Watanzania tuna mikakati gani........jamaa yangu mmoja juzi akawa ananiulizia kuhusu Filbert Bayi....na kwamba aliona CNN & BBC wakimzungumzia....na kwamba kwanini hatumuenzi.....kwa kweli sikuwa na jibu.......
 
Back
Top Bottom