William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Wewe ndiyo kweli pamoja na kumtenda tinga tinga wewe mapenzi yako pale pale du nakueshimu mzee. Kweli wewe unampenda sana na akija NYC sijui utampeleka wapi mzee!
- Kumbe hukujua alikuwa hapa juzi juzi sana ha! ha! ha! unaona! ha! ha! ha!, wala sio muda mrefu. Vipi tunaweza kujadili taifa again, maana this is waste of my time na wengine pia!
William @ New York City, USA.