Hawezi kukaaa meza moja na mwandishi nguli kama Tido Mhando, bora uombe kupelekwa the hiege kuliko kuhojiwa na TM
Acha uongo wewe team lowasa. Nina uhakika Dr. Slaa atakuwepo kama kawaida.
Usidanganye watu
atakuwepo saa ngapi mkuu? hebu tupe muda halisi.
Kipindi kiko recorded...Iweje unasema amemkacha?..
Kilisharekodiwa tangu last week...Leo kilikuwa kinarushwa hewani tu Chifu...
Huyo aliyekuletea hiyo habari amekupotosha na wewe bila kujiongeza umekuja kupotosha jamvini...
Wa kuulizwa ni Azam TV kwa nini hawajakirusha hewani?..
Acheni kujitoa ufahamu nyie misukule wa mamvi, Dk ni mwanasiasa nguli na msomi anayejielewa hawezi kukimbia mdahalo hata angeitwa CNN
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

amekatwa
Nimewasilia na Dr Slaa,
Kipindi chake na Tido Mhando kitafanyika wakati mwingine.
Poleni kwa usumbufu.....
Mandla.
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
ajabu wanaomtetea slaa sasa ni magambas!ahahaha