georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Nyie watu bana, huenda ikawa hii ni dhambi ya CCM kuwapa elimu isiyowasaidia. Mnakuwa ni watu wa kuropoka hovyo na kuelekea kule wakubwa zenu wanawaamrisha!!!
Asubuhi napitia comment nyingi baada ya taarifa kuwa Slaa atakuwa Azam tv, watu mnaonesha kutopenda hicho kitendo na kudai mnapuuza hicho kitendo na hamtakiangalia kwa sababu mnajua ni CCM ndio wamelipia kipindi.
Sasa hivi mmepata taarifa za kipindi kutorushwa mnaonesha mlikisubiri kwa hamu maana mlijua Slaa angekabwa maswali na Tido!!
Hii akili huipati popote isipokuwa kwa watu wanaojidanganya wanaweza kuchambua vitu, bila kufahamu kuwa hawawezi na hawatoi nafasi ya kuoneshwa kuwa hawawezi.
Kipindi ni recorded na kuna watu walileta taarifa ya kuona vipande vya hayo mahojiano vilivuja, sasa kutorushwa kwake inatakiwa tuwaulize Azam ni nani anahusika, je ni CCM wameona yana Athari kwao ama UKAWA kuna point zimekuwa nzito kwao ama AZAM wameona mahojiano yamekiuka maadili?!!
-IBADALimefanyaje??
Lengo ni kuitoa CCM hata angekuja Lucifer Shetani mwenyewe kutusaidia kuitoa ccm tungemuunga mkono
Slaa atazungumza chanel ten na star tv
Hawezi kwenda kwa tido mhando, maana pale atapigwa hardtalk anaweza kuZirai mana kuna maswali madogo madogo lakini ya msingi kama
1.ulisema unashindia mihogo umepata wapi hela ya kuitisha mkutano unakadiriwa kuwa na gharama ya milioni 300? Mchumba amesema mtajenga mashule nk je mla mihogo anaweza miliki shule?
2.ufisadi wa ccm umeanzia richmond na kuishia richmond tu.?
3.list of shame ilikuwa na majina mengi vipi kuhusu majina mengine utayazungumzia lini maana nao wanagombea na kufanya kampeni kama chenge nk
4.kwa nini mnataka tuamini umaskini wa tanzania umesababishwa na mtu mmoja tu, yaani lowasa
ccm imesababisha hali mbaya ya uchumi, elimu duni, afya mbovu nk unataka tuamini lowasa ndo kasababisha yote haya..?
mengine ya kiuchonganishi
5.bado unaamini ccm ni wezi wa kura..?! Maana mwaka 2010 ulikataa matokeo ukilalamika ccm walikuibia ushindi bado unaamini ccm ni wezi, je unawashauri nini ukawa safari hii.?
yaani slaa angenikuta mimi hapo studio, angetoka baruti, ila bora kamhepa tido maana kazi aliyotumwa ingekuwa ngumu sana
Mtu anayesimamia ukweli hawezi shindwa Maswali.hatungi majibu.kweli inamuweka huru
Ulivyo nyumbu unaona hayo maswali ni ya msingi,TIDO hawezi kujidhalilisha hivyo kwa kuuliza maswali ya kipumbavu hivyo
Lini mtoa mada maana nijuavyo mahojiano take na Tido yamerushwa Leosaa tatu asbi na pia jioni saa moja wanarudi.
Ufafanuzi pls
Kwani watu hawaelewi kwamba Dr Slaa analindwa na TISS na anaishi Serena hotel (sijui nani analipa bill)?
Babu padri kaona maswali ya Tido yatamuumbua Mshumbuzi akampiga beat usiende lasivyo atavunja huo mkono wa pili