William @ New York, USA @ Dodoma @ bongo can you be my Valentine?

Kongosho hapo juu. Waweza mruhusu ODM alale kitandani kwa amani? MJ1 siku hizi ni mjukuu mkorofi. Kamkimbia babu kahamia kwa anko..... Kongosho come this way baby....

Natangaza hali ya hatari kwa Kongo Le Mutuz Big Show ! Atakula server ban
 
hahah kwanini kasijue ilhali uko nako karibu? Kanajua tu ulivokuwa unakabusu busu!! Mie niko available twente foo awazi.......alafu ngoja kwanza...... kuna mtu kanambia eti nitakuharibia kidate chako, mie niko tayari hata ukinipiga kalenda!!
 
Hahahahahha huyo nani anataka kunizibia Kipipi. Mie sina kidate bana.
 
hureeeeeeeee
finally, MJ1 ndo uende kwa babu maunela masanilo

Kongosho hapo juu. Waweza mruhusu ODM alale kitandani kwa amani? MJ1 siku hizi ni mjukuu mkorofi. Kamkimbia babu kahamia kwa anko..... Kongosho come this way baby....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…