William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau

Status
Not open for further replies.
attachment.php

Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana
Huo u-sauti ya Umeme sie wengine hatuujui.
Kwani tunamuonaga tu akiandika, hatujawahi kusikia sauti yake.
Anyway, hata akishindwa, kwetu sisi wengine poa.
Naskia ana share humu barazani!!!!
 
Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo.

Kwahiyo; mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana tukiendelea hivi vijana kutoka familia zisizokuwa kwenye uongozi hawatapata uongozi so it is possible to find an altenative way to overcome this situation na ikawa mbaya kwa Tanzania yetu, binafisi mimi simuungi mkono
Basi viongozi wasizae watoto ati!!
Tatizo ni pale wazazi wao wanapotumia nafasi zao kulazimisha watoto wao kupata hizo nafasi kama alivyofanya makamba. Lakini kama wana compete kwa juhudi zao wenyewe kama huyu @NYC hakuna ubaya na huyu tena ni mwenzetu hapa JF japo ni mpiga debe wa magamba tumpe support 100%
 
Ivi tz nzima hakuna watu wengine kama majina hayahaya kila siku. Wazazi wao, baba zetu waliwapa nafasi na wametufikisha hapa tulipo tena wakiwa chini ya miiko thabiti. Leo tuwape hawa wa kuruka kama njiwa, Ninachojua nyoka hazai mjusi! Tutegemee wenetu na wajukuu zetu kuwa watumwa na kupelekwa kwa mijeled kabisa.
 
Huo u-sauti ya Umeme sie wengine hatuujui.
Kwani tunamuonaga tu akiandika, hatujawahi kusikia sauti yake.
Anyway, hata akishindwa, kwetu sisi wengine poa.
Naskia ana share humu barazani!!!!
Kama ulimwona anaandika basi ulikuwa karibu kiasi cha kutosha kusikia sauti yake kama wewe siyo kiziwi.
 
Pengine ndio hatua za mwanzo si unajua hata safari ya maili mia moja uanza na hatua moja. Yeye mwenyewe anaelewa mipango yake na yupo hapa, but if you want to know what i think ni kama ulivyosema labda baadae ubunge wa ndani ndio plan yenyewe. hila lazima ujipe jina kwanza kwenye magazeti hata siku akipieleka moto huko mtera tayari wameshamjua, may be just maybe.

Hila yeye ndie mpanga mipango yake na anakusoma.
Mkuu inawezekana manake wanasiasa bwana wana strategy nyingi. kuna kitu kingine nimegundua hapa. Huko nyuma hili bunge lilikuwa linaonekana kama kijiwe cha wazee like Kinana, Masha, Masaburi, Kate Kamba, nk. Lakini sasa nimeona vijana wengi wamejitokeza kuomba nafasi. Moto wa vijana naona unawaka kila mahala.
 
Ivi tz nzima hakuna watu wengine kama majina hayahaya kila siku. Wazazi wao, baba zetu waliwapa nafasi na wametufikisha hapa tulipo tena wakiwa chini ya miiko thabiti. Leo tuwape hawa wa kuruka kama njiwa, Ninachojua nyoka hazai mjusi! Tutegemee wenetu na wajukuu zetu kuwa watumwa na kupelekwa kwa mijeled kabisa.

umekataliwa kuwa mwanachama wa chama na pia kwani umekataliwa kuchukua fomu?

unalalamika huku umekaa chini huna ubavu wa kufanya wanayofanya,

unachekesha
 
nataka kuthibitisha kama kweli ccm inakufa ikiwa tu majitu mahuni yanaweza kupitishwa ili kuwakilisha taifa !

Jamaa hafai , Hafai hata kulumangia kwa mlenda wa kigogo.

Mtu ambae hana Iq yakulingana na mtoto wa darasa la pili eti anajiandaa kuwa mbunhl
 
attachment.php

Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana
Mkuu Willy,
Nakutakia kila la heri katika shughuli nzito hiyo.
May The Light lead you all the way.
 
nataka kuthibitisha kama kweli ccm inakufa ikiwa tu majitu mahuni yanaweza kupitishwa ili kuwakilisha taifa !

Jamaa hafai , Hafai hata kulumangia kwa mlenda wa kigogo.

Mtu ambae hana Iq yakulingana na mtoto wa darasa la pili eti anajiandaa kuwa mbunhl

Nakubaliana na wewe kuwa jamaa ana Iq ndogo sana, tena kuna wakati tulikuwa tuki-exchange views na watz wengine ktk hafla moja ivi, yuko too shallow ktk Internationa cooperation and development issues, I doubt ikiwa huyu anajua hata nchi wanachama wa eac au sadc, ki ukweli hafai kuwa mbunge wa eac
 
Halafu we mshkaji mi huwa sikusomi kabisa wat are u looking for,maana alwayz ni mtu wa kuponda tu bila kuonyesha njia nini kifanyike katika kila jambo,kuna siku nilishauri hapa jf iachane na utaratibu wa kupokea kila muombaji wa unachama ianzishe utaratibu wa kupima IQ za waombaji uanchama,kuna memberz wengine ni mzigo tu humu,hawana mchango wowote
 
Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo.

Kwahiyo; mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana tukiendelea hivi vijana kutoka familia zisizokuwa kwenye uongozi hawatapata uongozi so it is possible to find an altenative way to overcome this situation na ikawa mbaya kwa Tanzania yetu, binafisi mimi simuungi mkono

Hapo kwenye "red" kuna mashaka kidogo
 
hivi yule aliyechukua madaraka kule korea baada ya mzazi wake kutangulia ni nani jina??

Huwa yuko kama medula oblongata imekata senta bolt.
Sijui anafanana na nani?
 
Remeber niini jukwaa la siasa.
So achana na comment za kuuza uza sura. Kama huna cha kuchangia soma za wenzako. Au ndo nyie mnachagua watu kwa muonekano wa sura.
kila mtu ana haki ya kuchambua anayoyajua
si vibaya kumuuliza willy Malecela wale totos walioonekana nae katika facebook atawaacha?
Nia ya kugombea Ubunge Dodoma mjini ipo?
Mwanzo wa kujichafua ni sasa msitake kumbebesha kwenye mbeleko zilizochanika kwa kumpa visifasifa akianguka hapa kote hapati tena E.A. ni eneo gumu sana kwa baharia sawa na tundu la sindano na ngamia
 
Nakubaliana na wewe kuwa jamaa ana Iq ndogo sana, tena kuna wakati tulikuwa tuki-exchange views na watz wengine ktk hafla moja ivi, yuko too shallow ktk Internationa cooperation and development issues, I doubt ikiwa huyu anajua hata nchi wanachama wa eac au sadc, ki ukweli hafai kuwa mbunge wa eac
This is the type of cowards Tanzania can do without.
Mkuu wewe mwenye IQ inayojitosheleza mbona hujulikani wala Huna personal achievement to talk about?
Huna IQ yoyote maana Kama unavyojieleza,we ni mtu wa vijiweni with no contribution on anything to the society apart from the gossip you talk about.
Nakushauri, if you have balls jitokeze uwanjani Kama Willy tukuchambue.
 
Huo u-sauti ya Umeme sie wengine hatuujui.
Kwani tunamuonaga tu akiandika, hatujawahi kusikia sauti yake.
Anyway, hata akishindwa, kwetu sisi wengine poa.
Naskia ana share humu barazani!!!!
hii ni sauti ya umeme umee kweli kama ulikuwa hujui...kwa vile uko hapa utajua ninachokisema
 
Urithi wetu!...let 'em handing power peacefuly until we full awake. let me take nap like the rest of us.
 
Kwani hakuna watu wengine mpaka hawa watoto wa viongozi tuuu???Tutaacha lini hii biashara ya kurizishana???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom