William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

One of my best Jambazi kuu wa miaka yote...

Hii ndio ilikuwa real art, Jamaa alikuwa anaoneka kalege legea but shughuli yake sio poa
 
Ohhhh man.....

Namkumbuka sana kwenye #DEADLYHEROES.....my all tume favourite.

May he Rest in peace maana kama kutuburudisha ameshatuburudisha sana.
 
Hahaha inaitwa ROHO 2..hiyo
Hahaa!! Umenikumbusha kuna movie moja ya sultan tamba nimesahau jina, kuna jini chooni siku ile sikuoga kwa kweli nilijikuta km nimejipaka maji tu, na uanaume wangu wote, na kutokuwa muoga siku hiyo nilioga robo robo, enzi hizo tumehamia maskani huko bado pori, choo kiko nyuma ya nyumba huko ningiza totoro tu, halaf jirani yetu anaekaa nyuma alikuwa anasifika za kutokuona mchana usiku starring, movie niliicheki mida mibovu, kwenda kuoga nimeoga kimashaka mashaka tu.
 
Alimtesa sana chucky norris kwenye delta force .RIP
 
daah R.I.P carlos

chuck noris atabaki kukukumbuka ktk missing in action
 
daah ktk movie huyu carlos alikuwa anaonye unyama wenye dharau hatari


ila ktk maisha ya uhalisia alimiliki hadi kituo cha kusaidia watoto yatima
 
kuna scene moja alimbusu jamaa shavuni halafu akatoa amri auwawe papohapo kwa kupigwa risasi.
 
daah
18470582.jpeg
 
Back
Top Bottom