William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

Huyu mnyamwezi kanilia sn hela zangu maeneo ya kibudi kwa mangaya na kona bar, nilikuwa sikosi movie zake, kabla ya movie tunawekewa trela, miziki ya kikongo kama sio alouis mabere, Kofi oromide au pepekale,

Kwa manganya itakuwa tu kwa limonga uongo bob?
 
Daaaa jamaa hatari sana,nakumbuka kwenye movie hulk hogan nimesahau jina LA iyo movie but jamaa n danger
 
Back
Top Bottom