katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Huyu vipi hajui mwenzake anaumia ?R.I.P jambazi ambae kwenye movie zake zte ckuwah kuona katoa msamaha kizembe
Huyu vipi hajui mwenzake anaumia ?R.I.P jambazi ambae kwenye movie zake zte ckuwah kuona katoa msamaha kizembe
Hahaa!! Umenikumbusha kuna movie moja ya sultan tamba nimesahau jina, kuna jini chooni siku ile sikuoga kwa kweli nilijikuta km nimejipaka maji tu, na uanaume wangu wote, na kutokuwa muoga siku hiyo nilioga robo robo, enzi hizo tumehamia maskani huko bado pori, choo kiko nyuma ya nyumba huko ningiza totoro tu, halaf jirani yetu anaekaa nyuma alikuwa anasifika za kutokuona mchana usiku starring, movie niliicheki mida mibovu, kwenda kuoga nimeoga kimashaka mashaka tu.Nini bi mwenda kaka ? Kuna bi hindu na bi chau mi nilikua nasemaga kama hao wanakuwaga ndio wakwezo kazi unayo kwa mdada
Halaf kuna ile movie ya nsyuka me nilikua nikisikia tangazo nakaa nje mpaka liishe habari za kutishana sijazizoea mpaka leo movie kama final destination na hizo za mazombie siwezi kuangalia kabisa
umekielewa nilichokiandika mkuu?Kwa mauaji aliyokuwa anafanya au?
Hahaa!! Umenikumbusha kuna movie moja ya sultan tamba nimesahau jina, kuna jini chooni siku ile sikuoga kwa kweli nilijikuta km nimejipaka maji tu, na uanaume wangu wote, na kutokuwa muoga siku hiyo nilioga robo robo, enzi hizo tumehamia maskani huko bado pori, choo kiko nyuma ya nyumba huko ningiza totoro tu, halaf jirani yetu anaekaa nyuma alikuwa anasifika za kutokuona mchana usiku starring, movie niliicheki mida mibovu, kwenda kuoga nimeoga kimashaka mashaka tu.
It was Delta force 2...Kuna ile movie aliigiza na chak noris anaweka watu kwenye kijumba anawamiminia sumu mpaka wanakufa
Apumzike anapostahili
Hahaaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan nimecheka vibaya
mimi ndio nilikua najitishia tu hovyo hovyo yan nikioga had mama anisimamie sio kwa woga huu
Huyu mwamba alinichoema dem mmoja panga tumboni.Rest In Peace, Billy Drago.
Wahenga wa miaka ya 90's tunamtambua kwa jina 'Carlos'View attachment 1140924View attachment 1140926
Jamaa nimeumia kufa kwake zaid ya ilivyofungwa starsKuna sehemu alimpiga yule mdada panga la tumbo, halafu wakati anakata roho akamnyonya mate.
Kuna ile movie aliigiza na chak noris anaweka watu kwenye kijumba anawamiminia sumu mpaka wanakufa
Apumzike anapostahili
Ni muonekano tu aliutumia kupiga pesa kwenye uigizaji.Jamaa alikuwa teja maana alivyokuwa anaonekana kama teja kabisa.
R.I.P
Sio kama bongo movie eti adui lazima sauti iwe ya kukwaruza kama kalapina alafu avute masigara hovyo akiwa amevaa tinted na spy coat.Jamaa alivokua anaongea kislow motion lakin hatanii... Enzi hizo adui wa movie alikua adui kweli kweli...
Hahaa!! Umenikumbusha kuna movie moja ya sultan tamba nimesahau jina, kuna jini chooni siku ile sikuoga kwa kweli nilijikuta km nimejipaka maji tu, na uanaume wangu wote, na kutokuwa muoga siku hiyo nilioga robo robo, enzi hizo tumehamia maskani huko bado pori, choo kiko nyuma ya nyumba huko ningiza totoro tu, halaf jirani yetu anaekaa nyuma alikuwa anasifika za kutokuona mchana usiku starring, movie niliicheki mida mibovu, kwenda kuoga nimeoga kimashaka mashaka tu.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa!huyu Mimi huyu
Mpk kesho ujue,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]