William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

Kwa sauti ya lufufuuuuuuu anasema hvii

#kama teja ...vile anaongea...ety

Wwe ndio mbabe...demu wako nimemla uroda..aha aah aah..

R I P Carlos[emoji52]
 
Nini bi mwenda kaka ? Kuna bi hindu na bi chau mi nilikua nasemaga kama hao wanakuwaga ndio wakwezo kazi unayo kwa mdada

Halaf kuna ile movie ya nsyuka me nilikua nikisikia tangazo nakaa nje mpaka liishe habari za kutishana sijazizoea mpaka leo movie kama final destination na hizo za mazombie siwezi kuangalia kabisa
Hahaa!! Dada yangu ile ni movie tu, sio maisha yake halisi..
Umenikumbusha habari za bi mwenda wa kaole, hadi mtaani walikuwa wanamuogopa eti mchawi.😂😂😂
 
Back
Top Bottom