Will the real Paul Makonda please stand up?

miaka ya 2000 div 3 ilikuwa dili, so huyo jamaa akaamua kutoa cheti kisha yeye akaenda kukaa tu uko aliko?

hivi watanzania mnajiona mlivyo??

Jamaa hakutoa cheti kwa ufahamu na utashi wake, Daudi Bashite alimtumia binamu wa huyo Paul Christian M. ili aweze kufanya forgery ya cheti.

Lakini mbona hili jambo ni jepesi sana, kumaliza huu utata, 'Paul Makonda' si alete vyeti vyake vya elimu tu? Mbona yeye anapewa special treatment ilhali ni mtumishi wa umma kama watumishi wa umma waliofukuzwa kazi na kunyimwa mafao yao kwa sababu ya forged education na identities?
 

Unadharau social media, wakati huyo Daudi Bashite aliitumia kuchafua watu kwa kuwaita wauza madawa ya kulevya?! Wakati serikali inakamata watu kwa kumkosoa mtukufu Magufuli kwenye Whatsapp? Wakati serikali hadi ikatunga sheria ya kudhibiti social media?
 
Oh okay.

Basi inawezekana sikumsoma vizuri.

Mea culpa.
 
Mimi nimechagua kukaa kati kati kwenye suala hili mpaka pale litakapothibitika kwenye vyombo vya sheria.......kwani mpaka kufikia hapa nimeshasikia porojo nyingi za wanasiasa.....na wengine leo hii wanakula nao na kunywa nao......
What an irony!! Lakini kwa Lowassa ukaamini porojo za wanasiasa kwamba ni fisadi. Hukusubiri hilo lithibitishwe na vyombo vya sheria!
 
What an irony!! Lakini kwa Lowassa ukaamini porojo za wanasiasa kwamba ni fisadi. Hukusubiri hilo lithibitishwe na vyombo vya sheria!
Mkuu huyu hajielewi nimemuuliza maswali kakimbia.
 

Kweli tuna safari ndefu sana. Kimsingi, watanzania tunaongozwa sana na mihemuko na hisia. Wanaomtetea Makonda, aidha wanatetea kwa misingi ya u-chama, au ni kwa ajili ya tofauti zao dhidi ya walioliibua suala la vyeti vyake.

Waliolifumua hili suala, wanajaribu ku-raise awareness ili kama jamii tudai haki na usawa kwa wote, ila ndio kwanza tunawapinga eti mpaka wakathibithishe madai yao mahakamani. They fail to realize that we (people) are the jury, we've heard the prosecution, now we need to hear the defence (Makonda), and come up with a fair verdict.
 
Mkuu makonda hajatumia social media... Alitumia vyombo vya habar na c social network...je n chombo gan cha habar walichotumia wana udaku...? Be serious brother...

Maguful kuwakamata watu wa social media n upuuz tu...maana tunaotumia social media weng wetu n wapuuz kama ulivyo ww kwa kutumia I'd fake...kama una Nia ya kumkosoa jirekod ukizungumza fact na c matuc then tupia kwenye social media...

Social media haijakufanya uwatukane wenzako tena ukiwa kwenye I'd fake....kukosoa serikal haimanish ukosoe kwa matuc kama Malaya wa ambiance...

Czan kama mtu asie penda kukosolewa icpokua matuc na udhalilishaj ndo mambo tunayoyapgia kelele...yaan mtu hakosolew kwa kupewa kashfa...kumpa mtu kashfa maana yake huyo mtu humtak kabsa......

Social media itabak na sheria na serikal yake....kujibu udaku wa watu wapuuz maana yake uongoz nao utakua n wa kipuuz kabsa....
 
mkiendeleaaaa ataanza kuliaa tenaa [HASHTAG]#hii[/HASHTAG] vita ni ya kiroho sasa machozi ya kimwili yanatafuta nini!
 

Witness evidence ya Waliosoma naye, Waliomfundisha huko Mwanza wamethibitisha kuwa huyo anayeitwa Paul Christian Makonda ndiye waliyesoma naye akiitwa Daudi Albert huku akipata daraja la FAIL, Hoja ni kwamba Credential za Kitaaluma zilizomuwezesha kusoma ngazi ya Cheti hadi chuo, yeye sasa akiitwa Paul Christian Makonda kazipata wapi?, aliapa wapi kubadiri jina, na vyeti vyake viko wapi ili kuthibitisha uhalali wa credentials zake viko wapi?

Haya ndo Mambo yanayotafutwa tunapotaka alete vyeti, na tunaposema alete vyeti hatusemi vya shule peke yake, tunataka vyeti vyote vikiwemo vya utambulisho kama vile vya kuzaliwa, ubatizo, ndoa etc na kama amewahi kuapa mahakamani, tunaone nakala ya kimahakama ya kubadili identity! Ili tuweze kujiridhisha kuwa hakufake identity yake ili kujipatia manufaa ya identity nyingine kinyume cha sheria!!
 

huyu tunayemlazimisha hataki

sasa wewe mwenye akili timamu ili story yako iwe valid lazima uombe upande uliotuhumu

mtu anawezaje kukuambia una govi? kama hajaliona?
 
pamoja mkuu

na hili kuonyesha wanaodai cheti hawana chuki, wakae katikati
 
Paul Makonda yupo VOT radio ,mmiliki ni Rage aliekuwa mbunge wa Tabora,,,paul akiulizwa kuhusu hili sakata hataki kuongelea kabisa anacheka tu

Unamzungumzia Paul Makonda halisi?

Na VOT ndo nini?
 
Hakuna MTU anayeitwa Paul Makonda aliyewahi kusoma shule ya sekondari yoyote ile hapa Tanzania! Ndio maana mhusika hawezi kuonyesha cheti cha form four chenye jina hilo, ukimdai atatoa machozi!! Hilo ni jina alilojipa kwa njia ya kuapa!
 
Real makonda atajitokeza nikimwazima bashite vyeti as long kwamba bado sijafikia maamuzi hayo never expect real makonda to stand up. Hahaaaaa
 
Sielewi ulichokiandika, kwani umetumia lugha nisiyoifahamu...ebu rudia kuandika kwa kiswahili ama hata kiingereza, kijerumani au kispanish, nitakuelewa.
 
huyu tunayemlazimisha hataki

sasa wewe mwenye akili timamu ili story yako iwe valid lazima uombe upande uliotuhumu

mtu anawezaje kukuambia una govi? kama hajaliona?
Nimekuelewa. Natumaini unatumia reasoning hii hii kwa suala la ufisadi wa Lowassa.
 
Aliyeandaa orodha ya mafisadi ni Tundu
Umesoma na kuelewa nilichomjibu huyo ndugu? Au umefikiri ukisema Lissu ndiyo itakuwa tofauti?
Kwa hiyo Mwakyembe na wenzake walivyosema Lowassa ni fisadi walikuwa wakitumia maneno ya Lissu?
Na ni kwanini maCCM mlikuwa mkimtetea Lowassa kwamba siyo fisadi, mpaka Kikwete alienda kumfanyia kampeni za ubunge, lakini baadaye maCCM nyiye mkaanza ukasuku wa kusema Lowassa fisadi.
 
Kama litoto vile

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…