Will Smith kapata dili mpya ya kumuigiza Obama

Will Smith kapata dili mpya ya kumuigiza Obama

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,857
Mwigizaji na mchekeshaji maarufu Will Smith amepata dili la kuigiza maisha ya raisi mstaafu wa Marekani Hussein Barack Obama baada ya kupata ruhusa maalumu kutoka kwa raising huyo.

thA God thA bubbs!!
 
Nataka nione kipengele cha kuvuta pipe na moshi mkubwa uktawalahewani
 
Back
Top Bottom