klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
heheh hii ushabiki si masihara bana! kuna mshabiki wa Manu majuzi kanywa maji ya betri ya Lorry.yawezekana kazima kweli maana kimya mpaka sasa!
heheh hii ushabiki si masihara bana! kuna mshabiki wa Manu majuzi kanywa maji ya betri ya Lorry.yawezekana kazima kweli maana kimya mpaka sasa!
afadhali YUPO HAIkuna uzushi na uzushi,
uzushi huu mimi sijaupenda kabisaaaaa!!!
Unataka kutupa pressure wenzio,
tuonee huruma,
ungesema labda fisadi fulani hivikama............ Anaetupa shida hapa tanzania kufikiria mambo ya maana, ameamua kuhama tanzania kwenda kuwa monk korea, mali zake zote kaziingiza kwenye sekta binafsi, kidogo ingeleta burudani.
Huyu kaka ni kati ya watu wachache wanaonivutia kuangalia sinema mwanzo hasi mwisho.
Mmmh siamini!!
Actor ambae nilisikitika sana alipofariki ni Bernie Mac...kama WS nae ni kweli ntasikitika kweli!
We kama mimi FL1, nimetafuta CNN, BBC na pia Google hakuna kitu. I hope this is just a hoax.
hahahaaaaaaaaaaa.... ngoja manure wakushukieheheh hii ushabiki si masihara bana! kuna mshabiki wa Manu majuzi kanywa maji ya betri ya Lorry.