Hilo ndilo lilonifanya niache kuendelea kusoma hii tamthilia. ngoja kuna picha nizitafute alipofanya press conference huku ana rungu la Polisi, hapa Lwakatare amenitibuwa kabisa, hajui hata waliobahatika kuongea na Osama ni mtu mkarimu sana na anayejuwa kucheza vyema na akili za watu mpaka wengine wanajilipuwa ili waende peponi na mabikira 100.
Kwenda zako, kwani mimi niko hapa kukufurahisha wewe!? Mbululas.wengi wamechangia vizuri wewe ndo unataka kuharibu hali ya hewa.Kwa hiyo wewe ndo mgalatia mfurukutwa au sio
Samahani lkn, ingekuwa Ni kweli umepanga mpango huo ungetuwekea wazi hapa jamvini?
Huu uozo wa serikalikuhusu magereza na kesi ulioanikwa hapa ni wa kutisha na kuogopesha.Kuanzia leo mtu asiniite eti mimi ni Mtanzania.Sitaki!
Kwa haraka haraka utagundua hii article ya Lwakatare inafanya watu kuweweseka zaidi kimtazamo kwa vile fikra zao tokea mwanzo zilikuwa hazina MSINGI IMARA kuhusiana na swala zima lililoletwa na mengine kujitokeza ndani ya article kama vile Ustadh Ilunga na mtazamo wa serikali.
Article ya Lwakatare ina BASIS kuu tatu ambazo ni wananchi, serikali na imani za dini.
Ukitaka kuwapata na kuwagusa watanzania wengi kwa sasa inakuwa ni rahisi sana ukiongelea imani za DINI na matendo ya SERIKALI, kwa maana nyingine, Lwakatare anajaribu kuua ndege wengi kwa jiwe moja.
Kwenye dini, amemuweka wenye centre stage ustadh Ilunga kuonyesha kuwa kuna tatizo kati ya serikali na Waislam. Halafu pia akajiweka katika group moja na Ustadh Ilunga kuonyesha kama vulugu au mafarakano kwa misingi ya dini inasababishwa pia na serikali. Is it TRUE.
Kikubwa zaidi, Lwakatare ameleta ujumbe kuwa, yeye, Ustadh Ilunga na baadhi wafungwa wengine wako jela kwa sababu ya matatizo na ubabe wa serikali. Is it TRUE?.
Lwakatare alichofanya hapa ni kujitengenezea mazingira mazuri kisiasa katika mpito kuelekea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake wakati huo huo akiwaacha njia panda wale ambao walikuwa wana muona Ustadh Ilunga kama ni mtu wa kuogopwa na huku wenye kuiona serikali inafanya wajibu wake wakiachwa pia kwenye tope.
It's true, zigo la ushahidi liko kwa serikali na kwa maana hii, lazima tuongozwe na dhana ya presumption of innocence. Is he really NOT guilty. Hayo tunaiachia mahakama pamoja na kwamba the law is an ass.
The main message, SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI SERIKALI.
Is this CUNNING approach?.
Is this CUNNING approach?.
Edited, thanksRudia kuisoma tena
Hakuna mahali amaemtaja Ustaadhi Ilunga
Mkuu, umeandika vizuri, na umeibua maswali mazuri.Kwa haraka haraka utagundua hii article ya Lwakatare inafanya watu kuweweseka zaidi kimtazamo kwa vile fikra zao tokea mwanzo zilikuwa hazina MSINGI IMARA kuhusiana na swala zima lililoletwa na mengine kujitokeza ndani ya article kama vile Ustadh Ilunga na mtazamo wa serikali.
Article ya Lwakatare ina BASIS kuu tatu ambazo ni wananchi, serikali na imani za dini.
Ukitaka kuwapata na kuwagusa watanzania wengi kwa sasa inakuwa ni rahisi sana ukiongelea imani za DINI na matendo ya SERIKALI, kwa maana nyingine, Lwakatare anajaribu kuua ndege wengi kwa jiwe moja.
Kwenye dini, amemuweka kwenye centre stage Sheikh Ponda kuonyesha kuwa kuna tatizo kati ya serikali na Waislam. Halafu pia akajiweka katika group moja (mkristo) na Sheikh Ponda (mwislam) kuonyesha kama vulugu au mafarakano kwa misingi ya dini inasababishwa pia na serikali. Is it TRUE.
Kikubwa zaidi, Lwakatare ameleta ujumbe kuwa, yeye, Sheikh Ponda na baadhi wafungwa wengine wako jela kwa sababu ya matatizo na ubabe wa serikali. Is it TRUE?.
Lwakatare alichofanya hapa ni kujitengenezea mazingira mazuri kisiasa katika mpito kuelekea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake wakati huo huo akiwaacha njia panda wale ambao walikuwa wana muona Sheikh Ponda kama ni mtu wa kuogopwa na huku wengine ambao walikuwa wanaiona serikali inafanya wajibu wake wakiachwa pia kwenye tope la fikra mchanganyiko.
It's true, zigo la ushahidi kuhusiana na kesi ya Lwakatare liko kwa serikali na kwa maana hii, lazima tuongozwe na dhana ya presumption of innocence. Is he really NOT guilty. Hayo tunaiachia mahakama pamoja na kwamba the law is an ass.
The main message kwenye article hii, SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI SERIKALI.
Is this CUNNING approach?.