Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

Huu uozo wa serikalikuhusu magereza na kesi ulioanikwa hapa ni wa kutisha na kuogopesha.Kuanzia leo mtu asiniite eti mimi ni Mtanzania.Sitaki!
 
Kamanda nikupo pole kwa maana kweli wanaolima ni wachache lakini walaji siyo haba.Itakapoandikwa historia ya kweli kwa mtizamo wa KARL MARX,kila tone la damu na jasho vitakuwa wino usiokwisha kwa kuandika MAPAMBANO haya.
 
wengi wamechangia vizuri wewe ndo unataka kuharibu hali ya hewa.Kwa hiyo wewe ndo mgalatia mfurukutwa au sio
Hilo ndilo lilonifanya niache kuendelea kusoma hii tamthilia. ngoja kuna picha nizitafute alipofanya press conference huku ana rungu la Polisi, hapa Lwakatare amenitibuwa kabisa, hajui hata waliobahatika kuongea na Osama ni mtu mkarimu sana na anayejuwa kucheza vyema na akili za watu mpaka wengine wanajilipuwa ili waende peponi na mabikira 100.
 
Samahani lkn, ingekuwa Ni kweli umepanga mpango huo ungetuwekea wazi hapa jamvini?

Sawa ndugu we fanya mzaha lakini iko siku hata wewe yatakupata haya unayoyabeza. Pole sana Kamanda Lwakatari, ninakuahidi tuko nyuma yako ingawa kweli tuu waoga kutokana na udhalimu wa watawala wetu iloa tunaendeleza harakati na makala yako yametuongezea ujasiri, Mungu akubariki. Kuhusu Kitabu chako endelea kutujuza maana tunaitaka na tutatumia njiam ya kukinunua ili tukuchangie na kusaidia harakati za ukombozi.
 
Pole sana kamanda.Hakika Mungu yu pamoja nasi,ameshaitikia kilio cha Watanzania,safari yetu japo kuna vikwazo,tutafika salama.
 
Wanafiki wa kisiasa, waovu, wabaguzi, wadini, walioko chadema vigumu sana kuwaona hapa.
 
Pole sana kwa kazi ngumu uliyo/unayoendelea kufanya, ni cheche zinazotarajiwa kuwasha moto wa mabadiliko ya kweli.

Mungu akujaze ujasiri katika kutafuta mageuzi ya kweli ya nchi yetu.
 
Sikuwahi kujua kama Lwakatare ni "BRAIN" kiasi hiki....nimesoma hii kitu between the lines. CDM wana hazina kubwa no matter what...
 
Huu uozo wa serikalikuhusu magereza na kesi ulioanikwa hapa ni wa kutisha na kuogopesha.Kuanzia leo mtu asiniite eti mimi ni Mtanzania.Sitaki!

nadhani amewasifia magereza kw autendaji wao huku akitambua kuw akazi ya kuwashitaki watu sio ya magereza kwahiyo hizo lawama zako za KESI hazihusu magereza zinahusu Polisi na wazee wamashitaka.
Mfano ni yule mkurugenzi wa mashitaka wa kesi ya LEMA amabaye ni KADA wa chama cha mapinduzi.
 
Kwa haraka haraka utagundua hii article ya Lwakatare inafanya watu kuweweseka zaidi kimtazamo kwa vile fikra zao tokea mwanzo zilikuwa hazina MSINGI IMARA kuhusiana na swala zima lililoletwa na mengine kujitokeza ndani ya article kama vile Ustadh Ilunga na mtazamo wa serikali.

Article ya Lwakatare ina BASIS kuu tatu ambazo ni wananchi, serikali na imani za dini.

Ukitaka kuwapata na kuwagusa watanzania wengi kwa sasa inakuwa ni rahisi sana ukiongelea imani za DINI na matendo ya SERIKALI, kwa maana nyingine, Lwakatare anajaribu kuua ndege wengi kwa jiwe moja.

Kwenye dini, amemuweka kwenye centre stage Sheikh Ponda kuonyesha kuwa kuna tatizo kati ya serikali na Waislam. Halafu pia akajiweka katika group moja (mkristo) na Sheikh Ponda (mwislam) kuonyesha kama vulugu au mafarakano kwa misingi ya dini inasababishwa pia na serikali. Is it TRUE.

Kikubwa zaidi, Lwakatare ameleta ujumbe kuwa, yeye, Sheikh Ponda na baadhi wafungwa wengine wako jela kwa sababu ya matatizo na ubabe wa serikali. Is it TRUE?.

Lwakatare alichofanya hapa ni kujitengenezea mazingira mazuri kisiasa katika mpito kuelekea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake wakati huo huo akiwaacha njia panda wale ambao walikuwa wana muona Sheikh Ponda kama ni mtu wa kuogopwa na huku wengine ambao walikuwa wanaiona serikali inafanya wajibu wake wakiachwa pia kwenye tope la fikra mchanganyiko.

It's true, zigo la ushahidi kuhusiana na kesi ya Lwakatare liko kwa serikali na kwa maana hii, lazima tuongozwe na dhana ya presumption of innocence. Is he really NOT guilty. Hayo tunaiachia mahakama pamoja na kwamba the law is an ass.

The main message kwenye article hii, SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI SERIKALI.

Is this CUNNING approach?.
 
the book saba lumumba project....... mpoo?? aibu imewapata hata la kusema hamna.
Ukweli ukisemwa lazima uwake kama mwanga wa jua na waongo wote na wazandiki hujificha maana wao ni wa giza!

Kamanda, pole sana na karibu tena kwenye mapambano!
 
Kwa haraka haraka utagundua hii article ya Lwakatare inafanya watu kuweweseka zaidi kimtazamo kwa vile fikra zao tokea mwanzo zilikuwa hazina MSINGI IMARA kuhusiana na swala zima lililoletwa na mengine kujitokeza ndani ya article kama vile Ustadh Ilunga na mtazamo wa serikali.

Article ya Lwakatare ina BASIS kuu tatu ambazo ni wananchi, serikali na imani za dini.

Ukitaka kuwapata na kuwagusa watanzania wengi kwa sasa inakuwa ni rahisi sana ukiongelea imani za DINI na matendo ya SERIKALI, kwa maana nyingine, Lwakatare anajaribu kuua ndege wengi kwa jiwe moja.

Kwenye dini, amemuweka wenye centre stage ustadh Ilunga kuonyesha kuwa kuna tatizo kati ya serikali na Waislam. Halafu pia akajiweka katika group moja na Ustadh Ilunga kuonyesha kama vulugu au mafarakano kwa misingi ya dini inasababishwa pia na serikali. Is it TRUE.

Kikubwa zaidi, Lwakatare ameleta ujumbe kuwa, yeye, Ustadh Ilunga na baadhi wafungwa wengine wako jela kwa sababu ya matatizo na ubabe wa serikali. Is it TRUE?.

Lwakatare alichofanya hapa ni kujitengenezea mazingira mazuri kisiasa katika mpito kuelekea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake wakati huo huo akiwaacha njia panda wale ambao walikuwa wana muona Ustadh Ilunga kama ni mtu wa kuogopwa na huku wenye kuiona serikali inafanya wajibu wake wakiachwa pia kwenye tope.

It's true, zigo la ushahidi liko kwa serikali na kwa maana hii, lazima tuongozwe na dhana ya presumption of innocence. Is he really NOT guilty. Hayo tunaiachia mahakama pamoja na kwamba the law is an ass.

The main message, SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI SERIKALI.

Is this CUNNING approach?.

Rudia kuisoma tena

Hakuna mahali amaemtaja Ustaadhi Ilunga
 
Is this CUNNING approach?.

Cunning? NO. I insist experience can never be imitated, it is personal and factual. To be cunning you are concealing the truth for a purpose like the other side is doing. Our government is cunning? YES because they say what they do not do, and do what they do not say.
 
Kwa haraka haraka utagundua hii article ya Lwakatare inafanya watu kuweweseka zaidi kimtazamo kwa vile fikra zao tokea mwanzo zilikuwa hazina MSINGI IMARA kuhusiana na swala zima lililoletwa na mengine kujitokeza ndani ya article kama vile Ustadh Ilunga na mtazamo wa serikali.

Article ya Lwakatare ina BASIS kuu tatu ambazo ni wananchi, serikali na imani za dini.

Ukitaka kuwapata na kuwagusa watanzania wengi kwa sasa inakuwa ni rahisi sana ukiongelea imani za DINI na matendo ya SERIKALI, kwa maana nyingine, Lwakatare anajaribu kuua ndege wengi kwa jiwe moja.

Kwenye dini, amemuweka kwenye centre stage Sheikh Ponda kuonyesha kuwa kuna tatizo kati ya serikali na Waislam. Halafu pia akajiweka katika group moja (mkristo) na Sheikh Ponda (mwislam) kuonyesha kama vulugu au mafarakano kwa misingi ya dini inasababishwa pia na serikali. Is it TRUE.

Kikubwa zaidi, Lwakatare ameleta ujumbe kuwa, yeye, Sheikh Ponda na baadhi wafungwa wengine wako jela kwa sababu ya matatizo na ubabe wa serikali. Is it TRUE?.

Lwakatare alichofanya hapa ni kujitengenezea mazingira mazuri kisiasa katika mpito kuelekea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake wakati huo huo akiwaacha njia panda wale ambao walikuwa wana muona Sheikh Ponda kama ni mtu wa kuogopwa na huku wengine ambao walikuwa wanaiona serikali inafanya wajibu wake wakiachwa pia kwenye tope la fikra mchanganyiko.

It's true, zigo la ushahidi kuhusiana na kesi ya Lwakatare liko kwa serikali na kwa maana hii, lazima tuongozwe na dhana ya presumption of innocence. Is he really NOT guilty. Hayo tunaiachia mahakama pamoja na kwamba the law is an ass.

The main message kwenye article hii, SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI SERIKALI.

Is this CUNNING approach?.
Mkuu, umeandika vizuri, na umeibua maswali mazuri.

Nashukuru umeona tatizo la mwanzo la kukosea jina la Sheikh Ponda, nashukuru umerekebisha.
 
Back
Top Bottom