DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kasumbiresa

Member
May 25, 2023
18
4
Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu, majengo menyewe hajakamilika ila imebidi wafanyakazi wahamie kabla ujenzi haujakamilika kwa sababu kuhamia mapema kunafanya vitu ambavyo havijakamilika visikamilike, Vitu vinajengwa chini ya kiwango havikaguliwi mainjia wanapelekewa bahasha wanakagulia vitu ndani ya ofisi zao bila kwenda site.

Na katika kuthibitisha hilo majengo yote yaliojengwa mwezi wa 12, yananyufa za kufa mtu.na yameshachakaaa. Hata kama serikali haifuatilii ubadhirifu, ila iwe na huruma za Hela walipa Kodi.

Sasa hivi nasikia tena imegawa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maabara watu wanajilia tu hizo pesa. Wanajenga kiujanja watu wanapiga pesa tuuu tamisemi tumeni wataalam muone madudu yanayofanyika katika halmashauri zetu.

Pia, kuna rushwa ya ngono katika ugawaji vyeo Kuna mtu kahamishwa kutoka mahala shuleni Fulani kapelekwa shule X kisa anagawa sana, kule alipokuwepo alikataliwa kwa sababu ya ulafi wa pesa na kuwagawa anaowaongoza na kusababisha matabaka.

Lakini huyo mtu kapelekwa shule nyingine na uko ameanza kusababisha matatizo kwanza mdini, analazimisha watu wamfuate yeye utafikiri yeye amekuwa ndo waziri, Tamisemi tuondoleeni huyu mtu maanake huku Uyui anajidai kwba baba yake ni mkurugenzi.
 
Mzee umesema ukweli kabisa hata mimi nimeshuhudia viongozi wakigawana pesa za miradi ya shule na zahanati katika vijiji vya goweko nslololo na kuacha maboma yakiwa hayaendelezwi na pesa serikakali viongozi wako busy kuwalazimisha wananchi wajitolee na kuwashtaki Kwa kutojilea huku wao wakinifaka na pesa za serikakali ushshidi upo nimeliona kwa macho yangu wakaguzi wanaokuja hapewa rushwa na kuondoka bila ya utekelezaji
 
Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa...
Bandiko zuri la kizalendo, hoja hii nitamfikishia Mhe. Maige mwenyewe.
Pia, kuna rushwa ya ngono katika ugawaji vyeo Kuna mtu kahamishwa kutoka mahala shuleni Fulani kapelekwa shule X kisa anagawa sana,
Hapa sasa una karibu kwa kuleta wivu wa kike!. Kama mtu kitu ni chake, na wahitaji wapo, hakuna ubaya wowote kugawa sana!.

Next time ukileta bandiko la hoja nzito za maslahi ya taifa, usizichanganye na makorokocho!.
P
 
Kuhusiana na uyui na SARAKASI zake dah nimeandika sana mkuu humu jukwaani!!

Pale loya sec,kuna maabara zilitelekezwa na hela zikiliwa,juzi juzi wamekarabati moja ambayo nasikia haina hata kabati la kutunzia kemikali yaani hela za kabati walikula!

Kemikali zinakaa ukutani na kupigwa jua HADI nyingine zina expire!!

Nani alaumiwe!!!?

Serikali,mkurugenzi,au mkandarasi!!!?

Tuachane nao ni haki yao kuzila na hakuna anaejali!!
 
Paragraph ya kwanza tu ilitosha kunijulisha wewe ni mwalimu.. mna uchawi sana nyie watu. Okoka Yesu anaponya utaacha uchawi.
Usijaji mtu mkuuu, jaji hoja pesa zinaliwa miradi mingo ya wilaya ya Uyui haikamiliki kutokana na tamaaa za watendaji wake
 
Bandiko zuri la kizalendo, hoja hii nitamfikishia Mhe. Maige mwenyewe.

Hapa sasa una karibu kwa kuleta wivu wa kike!. Kama mtu kitu ni chake, na wahitaji wapo, hakuna ubaya wowote kugawa sana!.

Next time ukileta bandiko la hoja nzito za maslahi ya taifa, usizichanganye na makorokocho!.
P
Nimekusoma lkn rushwa ndo zinasababisha tupate watu wasio na sifa
 
Kuhusiana na uyui na SARAKASI zake dah nimeandika sana mkuu humu jukwaani!!

Pale loya sec,kuna maabara zilitelekezwa na hela zikiliwa,juzi juzi wamekarabati moja ambayo nasikia haina hata kabati la kutunzia kemikali yaani hela za kabati walikula...
Hoja kama hii uilete na evidence na sio "eti nasikia haina kabati". Nenda mwenyewe jiridhishe, maana hizi ni tuhuma nzito hazipaswi kuletwa kwa kusikia
 
Japo ni kweli rushwa ni adui wa haki, lakini rushwa ya umama huruma ni rushwa tamu, nani hapendi kula vitu vitamu?. Akitokea mtu ni mama huruma anagawa sana, huyo ni mwema na huo ni wema sio ubaya na sio vibaya kupokea wema huo na kujilia.
P
Dah! Maneno mazito sana haya. Halafu unakuta mtu mwenyewe ni mrembo mwenye shepu yake! Ni mwanaume gani mwenye uwezo wa kushinda kishawishi cha aina hii!
 
Sema uyui ni pahovyo sana sijui walizingatia nini kuwapa wilaya
 
Hoja kama hii uilete na evidence na sio "eti nasikia haina kabati". Nenda mwenyewe jiridhishe, maana hizi ni tuhuma nzito hazipaswi kuletwa kwa kusikia
Unafikiri Mimi naandika bila ushahidi!!?

"Eti nasikia"ni coded language ILI KUPOTEZA uhusika!!!

Nilienda kukagua mradi ule tukiwa jopo la mkuu wa wilaya uyui! AISEH kwakua chemistry ni my professional I was totally mad!


Hakuna kabati, chemical room ndogo sana sielewi hata ramani walitoa wapi!halafu wanaiita multipurpose laboratory ilu kuficha madudu yao wakati room mbili zipo pembeni hapo kama mapagala ya popo kuishi yamepauliwa tu tangu 2015 HADI leo hayajamaliziwa!!!

Ninajua KWA kina the stuff!upuuzi mtupu!!
 
Unadhani upigaji upo Uyuwi tu ?
Hata hapa nilipo Mimi upigaji uko mwingi sana, serikali hii inaupigaji mkubwa na wakutisha kuliko hata kipindi cha Jakaya Kikwete.


Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Japo ni kweli rushwa ni adui wa haki, lakini rushwa ya umama huruma ni rushwa tamu, nani hapendi kula vitu vitamu?. Akitokea mtu ni mama huruma anagawa sana, huyo ni mwema na huo ni wema sio ubaya na sio vibaya kupokea wema huo na kujilia.
P
Hahahahahaa hivi ni wewe P Mayalla au account yako imehackiwa?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hoja kama hii uilete na evidence na sio "eti nasikia haina kabati". Nenda mwenyewe jiridhishe, maana hizi ni tuhuma nzito hazipaswi kuletwa kwa kusiki I'm
Kaka unataka evidence nenda kwenye maaabala nyingi hazikumailiziwa waliweka majengo tuuu halafu Sasa hivi wamepewa Hela za kumailzia ila kazi zinafanyika chini ya kiwango mainjinia hawaji saiti wanapelekewa bahasha uko waliopo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom