jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Wananchi wa wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wako katika hali mbaya kutokana na mafuriko. Kwa taarifa za mkuu wa mkoa Mbeya mh.Abbas Kandoro, amesema mpaka sasa watu 3 wameishafariki kutokana na mafuriko ya maji na wengine wanaendelea kutafutwa. Wakaazi wa Kyela wanasema kuwa mihogo yote imeoza kutokana na mafuriko hayo na hawana chakula.