Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Wadau mimi niliwahi kusomea Bariadi, sasa Simiyu, wakati ule tulikuwa tunafaulu kwa wingi. Nimefanya utafiti katika matokeo ya sasa kidato cha 4, Wilaya nzima kwa upande wa shule za serikali matokeo ya form four sijaona hata kijana mmoja aliepata div one,two. Nimeona div three moja tu. Haya ni majonzi makubwa kwa nchi yetu hasa wakati huu kwenye dunia iliyoelimika, dunia yenye wajanja. Sijui kizazi chetu kitajikwamua kivipi. CCM tumewapa nchi lakini haya yanayotokea hatuwaelewi