Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.


MWANZISHA MADA HII HAPA CHINI NADHANI JIBU LA SWALI LAKO LIMEPATIKANA

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/165456-jk-kwa-pamba-hawezekaniki-3.html


 

Maelezo yako yanaweza kuwa partially true however; hakuna mwanasiasa mwenye akili timamu ata trade resources za nchi for "shopping spree" labda awe mgonjwa wa akili. On the other side nakubaliana na wewe ma-financier wanakuwaga na interest fulani ndio maana wana-finance chama (it is a different way of lobbying). Lakini hili la shopping spree sijui mtu mwenye akili analielezeaje hili. Sio tu ni ubinafsi lakini ni ujinga uliopita maelezo!!!! Ningemuelewa kama ange-trade in hiyo deal ya mahoteli in exchange na kitu beneficial to the economy e.g. Tanzania kupata mafuta at a reasonable/cheap price from UAE since huyo mtu ni tajiri wa mafuta. Aaaa! Hii kiboko kwakeli.
 
Unataka uelezewe favour ambayo Kikwete amewafanyia Kempinski? Tuanze na kuwapa jengo la mahakama ya rufaa. Tuendelee na kuwapa eneo la mbuga za wanyama Ngorongoro ambako imepigwa marufuku kujengwa hoteli kwa sababu ni route ya wanyama. Bado unataka uelezewe favour kweli? Nchi inauzwa for very cheap wewe bado unauliza favour? Mguu wangu! Uzuri wa Marekani wana sheria kabambe za michango ya kampeni. Yote inaorodheshwa na anajulikana anayeitoa. Tanzania inatolewa kisirisiri tu. Huwezi kulinganisha.
 
Umeona hata ile safari yake ya kwanza Marekani hakukaribishwa. Aliiomba.
 
Mkiendelea kuanika huu uozo nitagongwa na gari bure kwa presha au nitatembea uchi niandamane
 

Mkuu sio Mkapa peke yake nafikiri kamati kuu (waliokuwa wanakaa vikao vya siri wote hao), walijua wanaikabidhi nchi kwa mtu hatari lakini hawakujali. Dah! Inauma sana.
 


MWANZISHA MADA HII HAPA CHINI NADHANI JIBU LA SWALI LAKO LIMEPATIKANA

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/165456-jk-kwa-pamba-hawezekaniki-3.html


 
5. (U) Outside of the urban center of Mwanza, the region remains undeveloped. Emboff visited Ukerewe district, comprised of 26 islands in Lake Victoria, to see two USG- funded projects. Accessible only by ferry, the district is among the most remote in Tanzania. The islands are not connected to the country's electrical grid, and only a few small streets are paved. Residents feel far removed from the government in Dar es Salaam, and expressed dismay that their elected leaders have taken too long to provide needed infrastructure and services.

Traditional beliefs, including the practice of witchcraft, maintain a stronger hold in these rural areas. Some of these practices have contributed to the spread of HIV/AIDS in the area. (For example, it is believed that when a married person's spouse dies, he or she must engage in sex to be cleansed of the marriage. The person to perform this "cleansing" is often appointed to do so for an entire village or group of villages.) Education and modernization have been slow to influence such rural areas.

Cable Viewer
 
Jamanai Rais wetu kazidi umatonya kwa vitu vidogo vidogo . Anafikia kuomba shule kwa ajili ya watu specific tena kwa majina sio wa nyadhifa

Kikwete Appoints Military Attache to Washington D.C...




...and Requests Capacity-Building for State House Staff
. who are they ?



Kusoma wiki leak hii kikamilifu nenda Cable Viewer
 
Hot, let it be translated into swahili for many to read and understand for purpose of knowing.
 
GHOSTS OF REVOLUTION HAUNT ZANZIBAR'S


......."It is very important to Pembans that the President of Zanzibar be from Pemba. Some Pembans are so loyal to Hamad that they claim to see his face on the moon!" ........

Soma zaidi Analysis za Prof Mukandara aliyotoa kuhusu siasa za zanzibar.. hapa Cable Viewer
 
Ndo maana waarabu wanatamba sana hapa kama kwao,maluuni kweli hawa
 
WATANZANIA MAJIBU YETU NDIO HAYO JUU YA MHE KIKWETE NA PILIKA PILIKA ZISIZOKWISHA MAWINGUNI NDIO HAYO HUKU NCHI IKIUZWA KWA BEI YA SUTI NA PEREMENDE ULAYA

Asanteni saaaaaaaaaaana WIKILEAKS maana ni kipindi kirefu mno Wa-Tanzania tumekua tukijiuliza maswali mengi bila majibu juu ya kiongozi wetu na pilikapilika zake zisizoisha mawinguni kumbe mambo ndio kama hivi inavyodaiwa kama vile
kwenda kupokea vijiperemende mara London mara faragha vyumbani mara suti sijui wapi kule??????

Ama kweli kama UFISADI ni mpaka na CCM kudakishwa bahasha ya khaki hivi sasa aliyekua akimpinga Dr Slaa na madai mazito ya ufisadi dhidi ya chama hiki na viongozi wake SASA WATATUELEZA TENA NINI WATANZANIA wakati mamba sasa hadharani hivi???

Mhe John Tendwa naona uliuliza swali la WAFADHILI WA CHADEMA pengine kabla ya muda mwafaka; tafadhali sasa kaulize swali lako upya kwa Mhe Kikwete na CCM na utupe ripoti kamili juu ya majibu utakayoyapata.

Sasa huyu mwarabu wa Kempinski huwa anatuonaje tunapopitapita pale holini kwake kama mambo yenyewe ndio HAYA??????? Kwa mtaji huu sitoshangaa kweli jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania akimilikishwa yeye huyu bwana na Watanzania kubaki kujijua wenyewe huko mitaani na kuendelea kulilia HAKI kusikoisha.

Hakika tatizo la taifa letu si umasiki, wala si maradhi bali ukosefu wa viongozi waadilifu na wenye THAMANI KUBWA kama hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
 


imebidi nicheke tuu
 
Ni ukosefu wa akili kwa sheria zetu kuruhusu raia wa kigeni kuchangia vyama vya siasa
 
Hizi habari ningefurahi sana kama zingeandikwa na kutangazwa na vyombo vyetu vya habari,ili watanzania wengi zaidi wayafahamu haya....lakini mmh!
 

Punguza ushabiki wewe ili ufunguke macho na kuona kile usichokiona.

Kikwete kununuliwa suti hata kwa level ya uwaziri ni aibu,tena si aibu kwa familia yake pekee bali ni aibu kwa taifa kuwa na mawaziri wanaonunuliwa nguo na wafanya biashara.

Lakini haiishii hapo, Kikwete akiwa rais bado ameendelea kupewa rushwa kwa jina la vijizawadi toka kwa hao waarabu, soma vizuri tena huhitaji kusoma katikati ya mistari, utaona ni kwa kiasi gani rais wetu amekula mlungula na vitu vingine toka kwa mwarabu wa kempiski.

Na kama huoni favor anayowapa hao waarabu, sasa utusaidie sababu za msingi za huyoi mwarabu kupewa jengo la mahakama ya rufaa ili kupisha mwarabu huyo ajenge parking!! huyo mwarabu ameruhusiwa kujenga hoteli huko serengeti na ngorongoro kinyume na ushauri wa wataalamu wa mazingira na uhifadhi wa maliasili/wanyama pori.

Mapenzi yako binafsi yasikufanye ukajaribu ku justfy unjustifiable kama alivyosema mdau mmoja.
 
Hizi habari ningefurahi sana kama zingeandikwa na kutangazwa na vyombo vyetu vya habari,ili watanzania wengi zaidi wayafahamu haya....lakini mmh!
Wewe umefahamu hii habari..umefaidika na nini?
Think big mkuu
 
Nimewakumbuka pia wale twiga na wanyama wengine tulioaminishwa ati 'waliotoroshwa' kupitia KIA. JK anapendwa sana na 'watz', hata katika huu uchafu naona bado anapata watetezi!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…