Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Ukisikia kuishiwa hoja ndio huku, pamoja na maskandali yote tunayoambiwa wamemkosa mkulu hadi wanaripoti vijizawadi vya nguo? Hii nayo tuiite ufisadi? Dossier ya Wikileaks ni kubwa pekueni mtuletee hoja za nguvu tujadili!
Kazi tunayo watanzania

Fungu la suti? pumba zingine hazina hata mpango!

Na bado. Mnakumbuka baada ya mauaji ya Nyamongo yule CEO wa ile kampuni ya madini alisema "mtanifanya nini. Mimi hata rais wenu nimemhonga." Halafu kuna watu wanathubutu kusema tumeishiwa kujadilia mambo kama haya. They are central to our predicament. Tuna rais aliyewekwa mfukoni na watu waliokuja kuinyonya Tanzania.

Haaahaaa! Dear Mr. President. Is what being said here true? I can't believe this because to be bought by a pair of suit, not only is a joke but also a cardinal sin against people you lead. They can cry for a curse because it is not a. Sin which could be left alone.

Hii issue ni balaa. Kuna mzungu mmoja inasemekana anamiliki kitalu kule mugumu serengeti anashangaa WHAT KINDS OF LEADERSHIP THIS COUNTRY HAS. mzungu anamiliki kitalu????? alafu muulize watalii wangapi wanashuka hapo kwake kwa wiki....when I heard this I was in tears my fellow citizens

Na Katika saa nne asubuhi ya Jumamosi (27-08-2011) iliyopita timu nzima ya NCCR ilikuwa nyumbani kwa Mzee Sabodo, sijui waliambulia kitu? Wakiongozwa na Mbatia. Nasikia walienda kupiga mzinga wa 500,000,000/= .

FF kama mtoto yatima vile loh! Anyways, Rais tunae kwa kweli. Tuingize kwenye maajabu ya dunia Mang'ung'o wa karne ya 21, Wikileaks can help us in mobilizing votes across the globe

Cha ajabu ni nini:

Bibie, naona umeishiwa. Unachojaribu kusema hapo ni nini? Huyu Sobodo alitoa hizo hela kwa Chadema kwa sababu kachoshwa na kule CCM inakopeleka nchi yetu tukufu. Lakini naelewa uko kazini.l

Huyo ni Tudor. Kikwete huenda kule kupumzika.

Kweli lakuvunda halina ubani! Hizi nazo kali! Hata wanaomtetea waseme nini bado credibility ya mtu inashuka kwa kupenda vitu vya dezo! Mmmh, jamani hii mbona aibu! Na bado, akitoka madarakani kuna watu hawatatoa tena michango yao hapa maana zitaanza kutolewa single mpya ambazo bado ziko studio zinapikwa ili ziive

Halafu mnashangaa kwa nini Al Badawi kaahidiwa jengo la mahakama ya rufaa? Mwalimu aliwahi kusema rushwa ni adui wa haki. Tunayaona leo.

Kwa faida ya wanajamii naomba wataalamu wa kiswahili waitafsiri habari hii,ili isambae kama moto wa pori.

This is utterly shameful!
I guess this cable has established the priorities of the current Pres: his priority is being flown to London and being bought Saville Row suits at the expense of his benefactors? & looking forward to having his 'events' at the Kili (while many pressing matters of national interest are being flagrantly ignored like for example a daylite robbery taking place full force at the BoT today). From this cable, it seems like the Prez. is bought already by the few&mighty.
"BribE' is his way of doing biz.

(speaking of priorities, this reminds me recently there was an article published in the papers about the gvt. wanting to demolish the COA building in order to make way for parking lot for the Kili. Parking lot for a Lux hotel, more important than a place for JUSTICE. How symbolic of the integrity of this current regime).

Seriously, does the current regime have credibility to govern?

Bibie, naona umeishiwa. Unachojaribu kusema hapo ni nini? Huyu Sobodo alitoa hizo hela kwa Chadema kwa sababu kachoshwa na kule CCM inakopeleka nchi yetu tukufu. Lakini naelewa uko kazini.l

Isome vizuri habari, na huyo Mwaarabu aliwapa CCM, cha ajabu nini? na vyama vyote vinapokea misaada? au nongwa kwa CCM tu?

Isome vizuri habari, na huyo Mwaarabu aliwapa CCM, cha ajabu nini? na vyama vyote vinapokea misaada? au nongwa kwa CCM tu?
Cha ajabu si mchango wa Mwarabu kwa CCM. Cha ajabu ni rais wa Tanzania kukubali kuvalishwa suti na Mwarabu. Cha ajabu ni rais wa Tanzania kuamuru Mwarabu apewe jengo la mahakama ya kadhi. Cha ajabu ni rais wa Tanzania kuamuru Mwarabu apewe ardhi Ngorongoro katika eneo ambalo ni mapitio ya wanyama mwitu ili ajenge hoteli yake. Hujakiona tu cha ajabu, bibie?

Kwa faida ya wanajamii naomba wataalamu wa kiswahili waitafsiri habari hii,ili isambae kama moto wa pori.

FF kulikoni? Bora ukae kimya maana hakika maji yamezidi unga. Hizi tuhuma zinavyokuja kila kukicha afadhali ya jana!

Tunaweza kuelewa sasa ni kwa nini mkulu anakuwa mgumu katika kufanya maamuzi magumu. Kumbe anajijua jinsi na yeye alivyo mchafu....tena uchafu mwingine kama huu wa kuhongwa suti unatia kinyaa! Ni ulimbukeni ama ni nini?

Na Katika saa nne asubuhi ya Jumamosi (27-08-2011) iliyopita timu nzima ya NCCR ilikuwa nyumbani kwa Mzee Sabodo, sijui waliambulia kitu? Wakiongozwa na Mbatia. Nasikia walienda kupiga mzinga wa 500,000,000/= .

Faiza mbona umbea wa NCCR hauna uhusiano na thread??
Kwel magamba yamekutaiti mwanzo mwisho.

Ccm hoiii

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…