Wikiendi hiyooo inaanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wikiendi hiyooo inaanza.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by St. Paka Mweusi, Oct 22, 2010.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Week end ndio hiyoooo inaanza, naomba basi hii avatar iache uchokozi japo kwa siku mbili hizi jamani ,ili wanaume tutulie na familia zetu.I wish you all a very good week end.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwa sisi ISC inatufaa sana hiyo
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,717
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Siyo uchokozi, ana jicho moja
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  24/7 naona uko ki ISC
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,047
  Likes Received: 3,801
  Trophy Points: 280
  Ahahaaaah kama inakukwaza inabidi uikwepe kwa kutotembelea JF kwa siku mbili hizi!
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ukiwa memba wa chama tawala unafanya kampeni kuanzia kwenye shina
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  Mkuu nisipotembelea JF nitaugua presha.
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mambo vipi mkuu!usihofu na hiyo avatar,inapiga tafu sana kwa kujiliwaza!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Mi nilidhani inanikonyeza mimi peke yangu....kumbe na nyie!...goooosh!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Wewe pia weekend njema Paka Mweusi
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mkuu poa kabisa umeamka salama?
   
 12. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  i see
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Nashukuru Firstlady.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  naona mnaklik wandugu bas ngoja niidisplay page....!!!!
  mm macho yangu yana matatizo bwana yan nilikuwa bch ukooooooooooooooo na babu yenu bas katika kukuru kakaara mchanga ukaingia machon....
  wknd wap ?sema bas toa venue km ni mzalendo kesho ,kwa mbowe,kwa jd,maisha?sansiro?sanaa?
  mi kesho naenda kutukunyuka panapo mzalendo (usiku wa east afrika napenda swaga za ug)nkashake kila kitu vikidondoka ntaviokota bt today i hav to rest n tak time fo maself.....!!!!!
  KM UKIKONYEZWA NA WEWE ASI UKONYEZE BABU AU UNA MAKENGEZA???????pole unalo ilo babu limekuganda......!!!!!!
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  Hahahahahahahahahah wajina umeniamsha na kicheko leo hii ,jioni agiza chochote bili kwangu.
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0

  paka jimmy na paka mweusi achen utukunyuku wenu mi stak uchokoz
  asi mnikonyeze na nynyi.najua mna makengeza lakin asi mna mikia?BASI NIKONYEZENI KWA KUTUMIA MIKIA!!!!!!1
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Achen upana wenu nyinyi wapaaaaaaaaaaaana km bukta ya pepekale!!!!!!
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  Umeamka salama mama,vipi kiporo leo?Au ni mwendo wa viazi vitamu vya kukaanga?
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  afadhali mwwaya ebu waambie ..baelezee baelewe...!!!!!!1
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kaukau leo na maziwa fresh baba yenye tangawizi mana nina kikohoz kiduuuuuuchu!!!
  mchana mlenda km vp njoo ujilambe!!!!!!
  UNAJUA KULA MLENDA WEWE?
  wa kigogo na wa bamia....?????
   
Loading...