Wikiend

babulakibaha

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
287
325
5faff7a855988484126ed68f25b9c90e.jpg
 
Usawa Wa magufuli watu wanakunywa eagle, balimi, plisner n.k
 
Magufuli alivyobana, hii kitu unaionja pay day tu, na ukifanya kosa la kufika nyumbani kabla hujaionja basi sahau, ni mpaka mwezi unaokuja.
 
Basi kuendana na kasi ya kiuchumi ukipiga hako na ka konyagi kako ka 3500 ukimaliza hapo safiiii mtalo unaouona kama swimming pool majengo yanaelea elea housegal unamuona ka mkeo unackia raha mwenyeww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom