Wiki ya tatu sijapata confirmation digits ya Paypal, Nifanyeje?

Wiki ya tatu sijapata confirmation digits ya Paypal, Nifanyeje?

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Process zote nimefanya. Nikaambiwa wamekata $1.99 nikicheki kwenye statement nitaona kuna makato toka paypal na digits 4.

Leo wiki ya tatu sijaziona. Nimeshaomba statement bank mara tatu wapi, nikajaribu online statement wapi, ila nimeona makato ya shs 3,333 maelezo ni 'm.card purchase' ila hakuna digits 4.

Je, yawezekana bado niendelee kusubiri? Au nianze upya?

Nimesoma sana thread za humu zinazohusu paypal sijapata suluhisho
 
attachment.php

angalia kwenye pp*xxxxCODE

kunakua na kama kialama cha nyota na neno code kwenye hio statement ya buku 3
 
☝what he said... And make sure ni full statement like hiyo juu sio mini statement
 
☝what he said... And make sure ni full statement like hiyo juu sio mini statement

Okay. Mimi nilikuwa nawaambia benki wanaprint statement, kuna detailed zaidi ya ambazo huwa tunachukua kila mwezi wa mwezi? Kama ni hivyo labda nikaombe bank statement ambayo ni more detailed. Asante sana mkuu
 
attachment.php

angalia kwenye pp*xxxxCODE

kunakua na kama kialama cha nyota na neno code kwenye hio statement ya buku 3
Nadhani point ninayoipata hapa ni kwamba nikaombe statement ambayo ni more detailed
Shukrani
 
Back
Top Bottom