Wiki ya Sheria: Rais Magufuli awabadilikia Waziri Kabudi, AG Masaju na DPP kwa kukwamisha haki kutendeka

TUNAYO SABABU YA KUMUOMBEA RAIS WETU, KUNA TATIZO MAHALI...

Tafakari...
Ili upate uteuzi wa kuwa JAJI Mkuu ni lazima uwe na miaka hamsini (50)na kuendelea.
Miaka 50 ni umri wa uzeeni, umri ambao umakini na busara huongezeka kwa sababu ya kula chumvi nyingi.

Lakini pia hukuzaliwa na miaka 50, ulitoka utotoni, ukawa kijana baadae mtu mzima hatimaye ukaingia uzeeni.

Ulipokuwa kijana si kwamba ulikaa bure ukisubiria uteuzi hapana, ulifanya kazi kwa juhudi na kujiwekea hazina wewe na kizazi chako ili siku ukizeeka usipate tabu, utumie kile ulichovuna ujanani.

Mara Paap!...ukakutana na zari la kuwa JAJI MKUU, ukaanza kula mshahara wa Majaji huku hazina yako uliyojiwekea ujanani ikiwa imejaa gharani.

Ukapata likizo ukaamua kwenda ughaibuni kupumzika, Boss wako anakushangaa ati pesa ya kwenda likizo ughaibuni unaipata wapi?!!!

Kwamba ni nini?
Endelea nwenyewe mimi naogopa kumkosea heshima mtukufu.....
HII NI ROHO YA UMASIKINI TUIOMBEE KWA NGUVU KUBWA
 
Haya tumekusikia mtetezi ila mkirejea zama za jk mtakana maneno yenu
 
Samahani wewe Ni mjinga na sababu za kuwa mjinga unazijuwa mwenyewe. Rais amesema anajuwa mishahara ya majaji na akasema alifuwatilia uko nje wanafanya nini? Akagunduwa wanaenda kula bata kwa Pesa nyingi Sana ila akasema kwa hali ya Tanzania na kazi wanayo mtu anapata wapi mshiko huo ugaibuni kula batasasa wewe akili yako ni ndogo na kamwe huwezi muelewa. Pole
 
Tumaini hapa ni jukwaa huru kila mmoja ana mitazamo yake ni vema tukatofautiana kwa hoja lakini si kutumia lugha za namna hiyo.. Kama kuna watu walionekana na mushkeli ni kuchukua hatua haraka na kuwawajibisha.. Tusiishie tu na tuhuma za kwenye majukwaa
 
Aanze na Bashite..
Alienda US mwezi mzima Dec 2016..
Na akaenda France na SA..
Huko kote yupo na mke wake, mpiga picha na utitiri wa wapambe..
Na zaidi ya hapo kila mara anaenda SA..
Na huko ni matanuzi ya kila namna..
Aanzie hapo kwanza.
 
Samahani wewe Ni mjinga na sababu za kuwa mjinga unazijuwa mwenyewe. Rais amesema anajuwa mishahara ya majaji na akasema alifuwatilia uko nje wanafanya nini? Akagunduwa wanaenda kula bata kwa Pesa nyingi Sana ila akasema kwa hali ya Tanzania na kazi wanayo mtu anapata wapi mshiko huo ugaibuni kula batasasa wewe akili yako ni ndogo na kamwe huwezi muelewa. Pole
Utajaribu kutetea lakini ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa yako mtukufu ana mawazo ya kimasikini na roho mbaya, roho ya kwa nini, chuki na husuda
 
Jamii za Milima ya Uluguru wanaelezea alichoeleza mtoa mada ktk nadharia 3!

ROHO YA KAZOPATA! ROHO YA KAZORINGA! ROHO YA KAZOZENGA!
 
Tujue rais ana information nyingi mno na yeye hatumbui majaji kirahisi hivyo japo anawateua... kwakuwa ni mhimili mwingine pia haifai kuuingilia ingilia! Amewaonya na rushwa na starehe zilizokithiri sasa hapo shida ninini. Wapo watu wanakosa haki kwa rushwa zinazotolewa mahakamani na ni rushwa hizo majaji wanaenda kuzitumbua ughaibuni!! Hivi ukikemea hilo ni raho mbaya?? Rais amejitahidi kupambana na matumizi ya hovyo na rushwa kila mahali bila kumwogopa mtu...kwahilo nampa pongezi nyingi sijaona mtu ambaye angeweza haya katika wanasiasa waleo
 
Back
Top Bottom