Elections 2010 Wiki ya mwisho Makamba aahidi OIC na Kadhi

Hizi dharau zenu kwa waislamu ndizo zilizomletea laana mgombea wenu wa uraisi,amekuwa akibwabwaja mambo ambayo yamemuondoshea hadhi iliyodhaniwa kuwa ni hadhi aliyoipata bungeni.Yeye na Mrema ni sawa.
Kupanda kwenye jukwaa na mke wa mtu,bei ya mfuko wa saruji na vitisho ni mifano hai ya mambo yaliyombwaga chini.
Kuhusu waislamu,kwa adhabu atakayopewa Slaa mwaka huu,baada ya uchaguzi hapana shaka watanzania watawajua waislamu ni nani, kwa vile ambavyo maamuzi yao katika kura yatakuwa yamebadili muelekeo wa waliokuwa wakiwadharau.



Kwa comment kama hii nalazimika kufikiri na kuamini kuwa kuna mgonjwa aliyekuwa kalazwa Mirembe hospital ametoroka na sasa anazurura mitaani.
 
Back
Top Bottom