Wiki ya mwisho Makamba aahidi OIC na Kadhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wiki ya mwisho Makamba aahidi OIC na Kadhi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MchunguZI, Oct 28, 2010.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Ktk wiki hii ya mwisho nimekuwa nikipokea taarifa kwamba ziara ya makamba iliyoanzia kanda ya kaskazini akimnadi Dr Buriani, ilienda sambamba na kuwaahidi waislamu kwamba TZ itajiunga na OIC na 'watapewa mahakama ya kadhi' Haya aliyafanya ktk misikiti. Lakini kwa tahadhari kwamba CCM haikuiweka ktk manifesto yao.

  Hii nadhani imeenda sambamba na mazungumzo ya bw. Membe na wakuu wa madhehebu ya Kikristo, aliposema "...... lakini OIC wana pesa!...." Huyu hana maana sana lakini nadhani CCM wanafanya usanii kiasi.

  Iweje waliiweka kwa miaka mitano bila kuitekeleza, sasa hivi wanaiondoa ndo waitekeleze?
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  makamba na wapuuzi wengine wanawatumia waislamu vibaya, wanawafanya kama watoto, wakililia Gari unmnunulia pipi analamba anasahau, anasinzia.......
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  whois makamba by ze way!
  Ana uwezo wa kutamka hayo?
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  katumwa na jk!
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  shehe yahya Husein,makamba, tambwe na kingunge , ni washauri wa mambo muhimu ya kikwete
  [​IMG]
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Porojo zake tuu wataahidi ata kuwapeleka watu mbinguni.
  Maji ya shinngo
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Na kwa nini hiyo ahadi ya kujiunga na OIC akaitoe Arusha sehemu ambayo haina waislamu wengi badala ya Zanzibar ambapo ndipo hasa wanapojua faida za kujiunga na hiyo organisation?

  Hizo propaganda nyengine ni kiboko tena!
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  I knew it
   
 9. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli mtu anaweza kwenda Arusha kutoa ahadi za maslahi ya Waislamu?

  Jamani hizi kampeni zingine mnajitia aibu na kuitia dosari CHADEMA. Jamani hizi kampeni za uzandiki hazitawasaidia isipokuwa zinaharibu all prospects za CHADEMA na mwisho watajikuta katika kapu la CUF. Pia jamani imefika wakati kuachana na hizi propaganda za kuwatenganisha watanzania maana mkae mkijua Tanzania ya baada ya uchaguzi ni Tanzania ya wote na sio ya Kikwete na Waislamu pekee......


  Na hili suala la kuanzishwa mahakama ya kadhi iweje abebeshwe Kikwete ambaye yeye alibebeshwa na timu ya ilani iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Mkapa pamoja na kina Mzee Kingunge na Dr Mkama ambao hata kama ni wakristo lakini hawakuona kosa kuwa na mfumo rasmi na makini zaidi kuwezesha waumini wa kiislamu ambao nao ni watanzania kama wengine kufuata misingi ya dini yao kwa ufanisi zaidi?
  Hivi mnajua kuwa mchakato wa mahakama ya kadhi ulianzishwa na Rais Mkapa ambaye aliunda timu maalumu ya wasaidizi wake makini ambao walishauri kuwa hakuna kosa kuanzishwa mahakama ya kadhi na yeye kuridhia hilo kabla hajabanwa na some fanatics ambao walimtishia.

  Hivi mnajua kuwa suala na mswada wa sheria iliyoundwa na wasomi wa dini mbalimbali na magwiji wa sheria nchini ilishazungumzwa hata katika level ya parliamentary committees na kupitishwa ikisubiri baraka za kibunge miaka kadhaa hata kabla ya JK kuwa mgombea urais wa CCM.


  Hivi ni lini Kikwete aliwahi kutamka kuwa ataanzisha mahakama ya kadhi hata wakati ule wa kampeni isipokuwa alisisitiza kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu suala hilo na ndicho kilichofanyika na kinaendelea kufanyika. Sasa iweje leo muwe na guts za kusimama kumvisha msalaba huu Kikwete wakati mkijua wazi kuwa ILANI hiyo iliundwa na kupitishwa chini ya uongozi wa Benjamin Mkapa?
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  my vote is against oic and kadhi court. leo alshabab imeua wanawake wawili kwa sharia za kiislam. hii noma
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hivi kanda ya kaskazini ni Arusha pekee?
  Mwandishi kasema ziara ilianzia kanda ya kaskazini (ikiwemo Arusha), wewe na bange zako ushakimbilia na spin zako hapa za kifisadi fisadi tu.

  Gooosh Omar unatia aibu sasa.
   
 12. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  WASWAHILI: Mfa maji haachi kutapatapa..... CCM inatapatapa na ahadi zisizotekelezeka ili kukaa madarakani. Udini umejaa ndani ya ccm ndio maana nimeamua kuiasi
   
 13. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Oma, Hakuna anayeona mantiki ya kufanya hivyo. Lakini siyo ajabu kwa Makamba kwenda mwendo huo. Tangu aliponyamazishwa kwa kutaka aeleze historia yake ya ualimu, siku hizi hana la kusema. Hilo nalo hulioni.


  Nimeshuhudia akimunadi Dr Batilda kwa kusifia uzuri wake. Mbele ya TV huku akimuangalia usoni, watu wakicheka. Hilo nalo hukuliona?
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Omar ni spinner wa mafisadi wa ccm. Hawezi kukuelewa kabisaaa.
   
 15. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nilishasema kuwa sibishani na watu wenye upeo mdogo kama wewe..........

  Love u
   
 16. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  What did you know? kwamba Dr. Buriani anagombea Arusha au vipi? Na kwa nini ulilink OIC na Dr. Buriani?
   
 17. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtuhumiwa wa ubakaji
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  I love JF
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Omar, wewe ndiye mwenye upeo mdogo sana na kwa sasa unamkaribia mtuhumiwa wa ubakaji na mzee mropokaji --- katibu wako wa ccm (Makamba).
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  All of the above
   
Loading...