Sometimes inabidi tuangalie tu tujue taifa limefika wapi, for better or for worse.Hakuna mwananchi yeyote mwenye akili timamu atakayethubutu kuangalia TBC
Hahahaaaaa...Haaaaa haaaaa ukijibu hili swali kinyume.Wasiojulikana wapi mlangoni mwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kyela sehemu gani wa kukaja nipo katumba songwesijui kijiji gani mkuu , Kwetu Kyela kuna option , ni DSTV na AZAM kwahiyo watu wengi wanahangaika na soka na tamthilia , si tbc hata chembe !
Kajunjumele kikolo
Hakuna mwananchi yeyote mwenye akili timamu atakayethubutu kuangalia TBC
ZamadamuTakribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Huna unachokijua Mkuu,wazushiwe Kwa lipi sasa,na hao star times wanaorusha bure wao ndiyo hawapo kibiashara.Wanawatapeli kivipi? Ile ni commercial tv station,serikali inasema warushe matangazo bure kwa tv za ndani walipogoma ndiyo wakazushiwa la kutokuwa na leseni,kumbuka Tbc yenyewe inaendeshwa kwa kodi zetu na startimes wana undugu na serikali ya ccm!