Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Nimekwambia Startimes na serikali wana uhusiano usioeleweka,thus serikali kuipigania startimes si ajabu,na vile serikali inapambana kuhakikisha raia hawapati habari balanced bali zile za kumsifu na kumtukuza mtawala tu basi Tbc na startimes ni perfect match.Huna unachokijua Mkuu,wazushiwe Kwa lipi sasa,na hao star times wanaorusha bure wao ndiyo hawapo kibiashara.
Kama unawatetetea kuwa wapo kibiashara basi waachane na local channels ambazo zinarushwa kiutaratibu waoneshe za kwao tu
Sent using Jamii Forums mobile app