Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,242
- 1,378
Siku hizi nimeishilia kuwa mshabiki tamthilia bila kupenda. Naiona TV kama mkosi ndani ya nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wamiliki wa kampuni nao wasome namba; akina Anthony Dialo walikuwa wanachapisha hadi habari za uongo kumhusu Mzee Lowasa ili chama kikongwe kibaki madarakani wakidhani watarudisha zama za uhuru za kina mzee Jakaya, wakatumia vyombo vyao na taaluma zao kukiweka chama dola madarakani,Takribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Mbeya alizomewa wakati was kampeni so kuja so leoMwambieni raisi John aje na Mbeya. Sio kila siku Mwanza tu. Tumechoka kubaguliwa wakati kodi zetu mnachukua.
sasa wewe porno unaona jambo dogo? usilinagnishe porno na vitu visivyo na maana au hujuinkuwa wengine tuna jeuri kwa mademu kwa ajili ya porno?unachek porno unapata bao zako mbili hina haja ya mademuBora niangalie porno siku nzima kuliko kuangalia takataka hii TBCCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha Katuni za Akili na Marafiki zKe[emoji1]Takribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Nasikia wasojulikana wanabomoa nyumba siku izTakribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Sijui kwanini mwanangu yupstandard iv (English medium) nikiweka TBC 1 Kwa bahati mbaya hulia sana na kama anakula huacha !!!Takribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Hivi mbeya kwa nn anakwepa, ili hali alikuja kuomba kura na hakupata 0 bali kuna kiasi cha kura alivuna. Kwa mfano iringa ndo maeneo aliyipata kura kiduchu lkn kafika, why not mbeya?Mwambieni raisi John aje na Mbeya. Sio kila siku Mwanza tu. Tumechoka kubaguliwa wakati kodi zetu mnachukua.
Naomba ikiwezekana hii mada uwe uzi unaojitegemea maana inaniuma sana, tuone na wengine wanasemajeMwambieni raisi John aje na Mbeya. Sio kila siku Mwanza tu. Tumechoka kubaguliwa wakati kodi zetu mnachukua.