Wiki moja baada ya white party

Jamani hamtaniwi???mbona mnakuwa wakali hivo? akenajo & mrs akenajo hatakuongea hawakuongea siku hiyo na hizo picha alipiga saa ngapi
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...mkuu hapa mpaka kieleweke ndio maana kule kwenye maoni ya Katiba ya Chitchat, nikaomba bomba la gesi lipite hapa...ngoja nikaisake ile comment kule nikutupie hapa...

Hili bomba lingepita hapa ndani lazima heshima ingekuwapo!??
 
Humu mafala wapo kwani hujui katika msafara wa mamba na kenge wamo?
 
ana matatizo huyu utafikiri katumwa kwani nani amekwambia tunataka kuona hizo picha ni ushamba huo yaelekea wewe ufanyiwi outing ndo mana uko mshamba wataka kuleta mambo ya upcountry hapa dar nini
ni kiherehere tu na ni kweli ushamba hauna mwenyewe ,mna jipya ?
 
Ha ha ha ha ni wale wale huyu dada happy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…