Wiki mbili tu za ndoa yake kaanza michepuko

Wewe unavyouliza hilo swali kuwa aliyemua alimpenda au kalazimishwa ungepaswa kumuuliza huyo jamaa?
 
Kwani kwenye cheti cha ndoa ali-sign ndoa ya mke mmoja au wake wengi?
 
.........................................................
 

Pole yake
 
Alikuwa ajaachaacha michepuko bhana sema alipumzi kidogo aweke msaidizi wa kazi za ndanii
 
Huwezi kula ndizi kila siku bana.
 
Mambo mengine ni siri,labda mke hazungushi kama mchepuko,siunajua mchepuko anavyojituma!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…