Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

na jina lako hilo, inaelekea unatisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii ilinipitaje? Zinduna najua ndo unajiandaa, poa basi tukutane hiyo j2, ila taratibu mkaka atakayejitolea, uende naye polepole na hayo ya pwani, lol!
karibu sana
Kwani FP una uume? Ye kaomba mkaka sasa nini kuanza kujiepeleka? Hatutaki kiwingu meeeeeen! Nenda kwa TANMO wako!
 
Last edited by a moderator:
Hivi tunapojifungua mtoto huwa anapitiaga wapi vile?
Sitaki kuamini kwamba kuna uume wenye ukubwa sawa na mtoto mchanga.

Bichwa la mtoto linapita wakati wa kujifungua seuze hivyo vibamia vyenu!
Kwikwikwikwikwiiiiiii hapo umenishinda Zinduna haya tukutane hiyo jumatatu pale Bahari Beach mi ntakuwa hapo Jumapili jioni nikikusubiri!
 
Last edited by a moderator:
Zinduna, i don't promise to take you anywhere among those u proposed..but anytym u pass by muuza mihogo wa posta maeneo ya exim tower feel free to call (check PM kwa number).
I don't promise to buy you the most expensive lunch but one enough to make you full mayb through the night.
I don't promise to do anythng out of the ordinary...but it will b my pleasure to jus set my eyes on you!
U r warmly welcome my dia!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom