Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zinduna, Oct 31, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wana Chit chart, wiki ijayo Ijumaa natia timu Dar, na nitakaa kwa siku tatu pale viunga vya Msasani, Kidume yeyote yule ambaye angependa atoke na mimi kwa dinner afanye booking mapema (Lakini asiwe ni mume wa mtu, sipendi ngeu mie).

  Muhimu ni mshiko maana sina kitu kabisaa na viwanja nitakavyopenda kutoka kusafisha macho ni Kilimanjaro Hyatt Hotel, Double Tree Hotel, Sea Cliff Hotel na Kunduchi Beach Hotel, gharama zitafidiwa kwa makubaliano maalum.

  Wadada tukutane J2, pale viunga vya Mango Garden Kinondoni.

  Sitaki PM, mwageni sera zenu hadharani.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Usihofu lazima uonje ma-opportunity niliyojaliwa na Mungu,lakini usinigande ukashindwa kurudi!
   
 3. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Pia nitatumia fursa hiyo kuendesha kipindi cha Zinduna Talk Show, na siku hiyo kutakuwa na manjonjo ya kufa mtu, stay tune
   
 4. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Weweee, unachezea mikogo ya pwani weye, angalia usije ukahamia ZNZ, mie nayajua si mchezo, kama umezoea magume gume nakuomba uchezee mbali huu ni mziki mwingine, ujipange sawasawa
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Toka na b52
   
 6. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  We mpori pori akutake nani, kwanza utakuja na cha R Chuga?
   
 8. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Halafu nasikia mwanza ulifichwa na mwana JF mwenye uke! Ulisalimika kweli?
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0


  Karibu sana mi nakulipia Serena hotel siku 3 na milo yote lakini nafukua maji taka mende wanako pendelea kukaa
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Changu tayari ni cha arusha tena utakipenda hutakaa ukiache....
   
 11. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  .....mmmmm?...maneno huwa hayanichoshi nasubili videndo,,,,UTAWEZA?..Lakini je TUKO WANGAPI?
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wanaume wa chirt chat walivyo wabahili katu hutowaona hapa, watapitia kando, jamani mie sinywi vikali, sana sana nitakunywa milk shake, na msosi utakuwa wa kawaida sana Lobuster na mash potato, kisha napata diseti ya Tiramisu, na mwisho nasumumizia na chocolate
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kuku mgeni njoo uonyeshe manjonjo kwa wazee wa jiji lango la jiji.
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeeee sasa ulitaka nifichwe na mwenye uume kama mimi? Zinduna aje aisee we mbona unatafuta mwenye uume na si tofauti?
  Mwanza raha aisee
   
 16. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sie tumezoea kutumia jiko la gesi, usiwe mshamba na wewe, nyiewa bara ndo msiyoyajua hayo, TV zenyewe mmezijua majuzi baada ya kuingia rais wa awamu ya pili, lakiniie tangu miaka ya 60 tuna TV coloured
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mi pedeshee wa madini unanigwaya
   
 18. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hata muwe kumi nawamudu, kwani imewekwa mita hii
   
 19. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hamna kitu hapo, weka namba ya simu tuseme nyuma ya pazia, kwani kwa sauti tu nitakujua kama unazo au la
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Umeniogopesha sana! Inaonekana sie wa Arusha hututaki taki vile!?
   
Loading...