Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

Sie tumezoea kutumia jiko la gesi, usiwe mshamba na wewe, nyiewa bara ndo msiyoyajua hayo, TV zenyewe mmezijua majuzi baada ya kuingia rais wa awamu ya pili, lakiniie tangu miaka ya 60 tuna TV coloured

Hongereni hata mikoani siku hizi mnaijua gesi!! Huko msasani bonde la mpunga unako fikia TV zenyewe wanaweka juu ya paa kuepuka mafuriko itakuwa jiko la gesi
 
Heheheeeee sasa ulitaka nifichwe na mwenye uume kama mimi? Zinduna aje aisee we mbona unatafuta mwenye uume na si tofauti?
Mwanza raha aisee

Uume ndo mpango mzima, nataka nijaribishe za bara zina ladha gani, kwanza nasikia wanaume wa bara hawafanyiwi tohara, nataka nione inananaje
 
Halafu nasikia mwanza ulifichwa na mwana JF mwenye uke! Ulisalimika kweli?

Katumika huyo limebaki jina tu, ngoja waje wenye nazo, viwanja vyote ulivyotaja huwa naenda akija jamaa yangu likizo toka minnesota, kama usingejali ningekuleta huku makirikiri bar,lakini viwanja ulivyotaja duh, nitakuwa simalizii kakibanda changu kinyerezi
 
Hongereni hata mikoani siku hizi mnaijua gesi!! Huko msasani bonde la mpunga unako fikia TV zenyewe wanaweka juu ya paa kuepuka mafuriko itakuwa jiko la gesi

We unazungumzia msasani gani? mie nafikia Peninsula bana
 
Halafu nasikia mwanza ulifichwa na mwana JF mwenye uke! Ulisalimika kweli?

Katumika huyo limebaki jina tu, ngoja waje wenye nazo, viwanja vyote ulivyotaja huwa naenda akija jamaa yangu likizo toka minnesota, kama usingejali ningekuleta huku makirikiri bar,lakini viwanja ulivyotaja duh, nitakuwa simalizii kakibanda changu kinyerezi, najiweka pembeni, atakuja Bishanga na hela ya mkopo toka FINCA
 
Last edited by a moderator:
Hamna kitu hapo, weka namba ya simu tuseme nyuma ya pazia, kwani kwa sauti tu nitakujua kama unazo au la

Mi vitendo tu njoo ulale Serena huko msasani usije sombwa na mafuriko, njoo ule maisha
 
Ila usijekimbia ukaacha pichu

Hivi tunapojifungua mtoto huwa anapitiaga wapi vile?
Sitaki kuamini kwamba kuna uume wenye ukubwa sawa na mtoto mchanga.

Bichwa la mtoto linapita wakati wa kujifungua seuze hivyo vibamia vyenu!
 
hehehehheh! waukweeeeh...........huyooooo anaingia ndani ya jiji lolest!
Zinduna mwaya karibu, tulikumisijeeeeeeeeeeee sasa? ila bibie mie nletee udi tena ule wa oman wenye kufushwa ukeni manake nimeopoa mwenye ume mmoja humu jf nataka nimzime milele. usisahau na wanja wa kungu bibi na hinna za makka lol!

yote tisa masala ya chai, pilau, na birian usiasahau jaman pamoja na binzari ya kusafishia uso mwali lol!
 
Last edited by a moderator:
Nishamuona mchawi humu, aitwa Filipo mbona unachungulia tu, sema kama wataka ki date
 
Last edited by a moderator:
hehehehheh! waukweeeeh...........huyooooo anaingia ndani ya jiji lolest!
Zinduna mwaya karibu, tulikumisijeeeeeeeeeeee sasa? ila bibie mie nletee udi tena ule wa oman wenye kufushwa ukeni manake nimeopoa mwenye ume mmoja humu jf nataka nimzime milele. usisahau na wanja wa kungu bibi na hinna za makka lol!

yote tisa masala ya chai, pilau, na birian usiasahau jaman pamoja na binzari ya kusafishia uso mwali lol!

Vyote utapata bi dada, umesahau kutaja RIWA na mitundumbaka
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom