Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

Wana Chit chart, wiki ijayo Ijumaa natia timu Dar, na nitakaa kwa siku tatu pale viunga vya Msasani, Kidume yeyote yule ambaye angependa atoke na mimi kwa dinner afanye booking mapema (Lakini asiwe ni mume wa mtu, sipendi ngeu mie).

Muhimu ni mshiko maana sina kitu kabisaa na viwanja nitakavyopenda kutoka kusafisha macho ni Kilimanjaro Hyatt Hotel, Double Tree Hotel, Sea Cliff Hotel na Kunduchi Beach Hotel, gharama zitafidiwa kwa makubaliano maalum.

Wadada tukutane J2, pale viunga vya Mango Garden Kinondoni.

Sitaki PM, mwageni sera zenu hadharani.
..msasani ipi..?...mie nataka nitoke na wewe twende zetu KARAOKE pale Irish Pub
 
duh, Zinduna mbona umenihamasisha nami kuja huko? wallah naja unifunde mwenzio make naanza kuona taa zinafifia rangi, ndoa yenyewe changa lolest! ngoja nimtongoze boss anipe ruksa kha. . . . CAN'T WAIT!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeee kaka Judgement nishaongea nae coz namimi niko najiandaa kwenda Dar kwa mapumziko ya wiki moja so nimefurahi kupata wa kunipa mautamu wakati wa mapumziko....natua jijini jumapili mapemaaaaa then naenda zangu chimbo kuandaa mazingira ya kumpokea Zinduna

Sasa kumbe!
Maisha yenyewe mafupi haya ndg yangu!
Inasaidia nini tukazifiche uswizi?
Na vyanzo vya kuzipondea vimetuzunguka?
Ponda mwana ponda !
Ponda kwa maana ya ponda!
Si ponda kwa maana ya Sheikh Ponda.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kumbe!
Maisha yenyewe mafupi haya ndg yangu!
Inasaidia nini tukazifiche uswizi?
Na vyanzo vya kuzipondea vimetuzunguka?
Ponda mwana ponda !
Ponda kwa maana ya ponda!
Si ponda kwa maana ya Sheikh Ponda.
Hahahahaaaa ponda zikuponde hahahaaaaa aisee Judgement kweli hunipendi mdogo wako lol
 
Last edited by a moderator:
mwambie mwambie huyo bibie, mautamu ya rock city!
Hahahahahaaaaaaaaaaa charminglady huyu Zinduna hajui huyu jinsi Malaika beach ilivyofanya kazi yake lol nalimiss jiji aisee
Hivi hakuna anayekuja kupata mautamu ndani ya Jiji la Arusha?
Please hebu kujeni faster ladies muone raha katika mwanga bora chini ya Mlima Meru!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom