Wifi anachukua nafasi yangu,nifanyaje?

Pia uwe unambania mmeo kama anapuuzia maamuzi yako, Usiwe unampa kila siku, mueleze ili upate usiwe unabisha bisha

sasa akiwa anambania si ndo anakalibisha nyumba ndogo hivi hivi au dada mtu atakuwa kipoozeo kwa jamaa. Labda wawe wanafanya kila siku ili asiwe na njaa tena ya kumendea dadaake
 
wake up mami na cmama kwa miguu yako yote miwili, ulimzembea kuanzia mwanzo huyo,haipendezi/haitakiwi iwe hivyo kabisa, ni hivi alipofikia panatosha, kaa chini na mr uongee nae kiundani zaidi jinsi unavyokereka na hiyo tabia, kuwa mwazi mweleze kila linalo kutatiza juu ya wifi yako then mwambie ni wakati wa mie kuamka/kukemea! kuanzia hapo uckubali tena akuburuze huyo wifi mana ni anakuburuza, weka mpaka wako na akifikia kuuruka unamueleza ukweli wake, ikishindikana aondoke hapo home akatafute maisha yake mwenyewe, usiendekeze kabisa hii mambo, kuwa na msimamo ndoa ni ya wawili mami.

Kweli kabisa tena hakikisha unamwashia moto (atakapoonyesha ukaidi) baab kubwa usikubali akutawale nyumbani kwako akitaka umkabidhi kabisa na chumba ili awe anampa na huduma ya usiku kabisa ama!
 
naomba radhi mkuu
ila ile taarifa pale juu haujiweka kama reported speech.
samahani tena
mie nimeoa na bado niponipo sana tu

Nashukuru mkuu ngoja nirekebishe.
Tupo ukurasa mmoja lakini mi bado sijaoa hongera mkuu kwa kuoa naona unajilia mali zako kiulainiiiii. Sawa na kuku wako umtafutie manati ya nini?
 
...nahisi ugomvi huu umezungukwa 'zaidi' kwenye matumizi ya simu na lugha (as a communication barrier)...

...Ikitokea mimi na mume wangu tumejadili jambo la kufanya kwa ajili ya familia yetu ndogo mume wangu anachukua simu na kumwambie kila kitu mdogo wake na kitakachosemwa na mdogo wake basi ndio kitakachofanywa na sio mimi hata kama sehemu ya jambo hilo pesa zangu zinahusika. Yaani imekuwa kama akili ya mume wangu haifanyi kazi basi anatumia ya dada yake kufanya maamuzi.

...Iwapo wanaishi nyumba moja...humpigia dada'ke simu wapi? Kazini?

Kitu kingine kinachoniumiza roho na kunipa donge ni pale ninapotoka kazini jioni au siku za mwisho wa wiki wote tuko nyumbani, badala mume wangu atumie muda huo na mimi yeye atakuwa kwenye simu na dada yake wakiongea maongezi yasiyoisha tena kwa kilugha chao na kucheka.

...kama wote mpo nyumbani, umewahi chunguza wanaongea na nani?

Yeah toke ni toke tumbo moja na baba mmoja.
Yeah wanaishi pamoja hapo hapo kwao lakini yeye anafamilia yake hukooo TZ.

...inawezekana wanapiga international calls Kagera kwa familia?
 
kwa kweli inabidi uwe mwangalifu sana dadangu, kwa kweli hakuna uhusiano kama huo wa kumsikiliza dada zaidi ya mke, nadhani best way ni kumwambia huyo mwanaume awe mkweli kwako na akupe uhusiano wa kweli na huyo dada, kwa maelezo yako inatia mashaka sana kama huyo kweli ni dada yake, mitihani ya dunia hiyo
 
pole sana....but as u said before u were in peace....na pia unafamilia....ukisema uondoke uachane na mumewako this means that ur not trying to solve the problem but just escaping it...what if u divorse and get married to another man with the same characters will u divorse it again??????there is one thing i would like to advice....try to be open to him call sperd a sperd...dont roaming around just go straight to the point hasa kumuelezea yanayo kukwaza.....by hiting the point direct .....ila usimwambie ukiwa katika hasira....ukimwambia akarudia tena muandikie katika barua....i know in writing u will be able to express everything in both sides of coin kisha umpe nawala usioneshe dalili yoyote ya kukasirika....akisoma bado hajabadilika...go to another stage remain silance do your things dont ask him any thing about his behavior let him do what he is doing and now concetrate to GOD pray hard,and hard remember he is a way....it is only GOD whom can do miracle to your familly...so talk to him day and night he will hear and answer your prayers.....dont loose hope in your life....life is fool of challenges and we have to face those challenges with confidence,hopes and Praying hard.

POLE SANA
GOD WILL HELP YOU BELIEVE IN HIM AND HE WILL DO SOMETHING FOR YOU
CHEERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unajua uwa unanifurahisha sana,nitakupa mwanangu mmoja uoe,kama haujaoa lakini.Mahari yako ni kunichekesha baba mkwe wako siku nzima.

na mimi nataka bintiyo mmoja nionje malezi tofauti.
kama kukuchekesha nitakuchorea katuni za kucheka mwaka mzima mkweeee!
 
Fidel
Huyo bibie na wifi wana kazi sana, solution ni kumrudisha Tz ila mengine yote atakuwa anajaza maji kwenye gunia.
Atafute safari ya kuja kusalimia na huyo wifi yake halafu amuache huku halafu arudi kule mwenyewe kama ni kulea na shughuli nyingine achakarike tu mwenyewe, maana mumewe hatofanya hivyo kumrudisha dada yake tz.
Mambo ya mawifi kama hawapatani ni magumu sana tena kama mume anasapoti dada zake.
 
Unajua uwa unanifurahisha sana,nitakupa mwanangu mmoja uoe,kama haujaoa lakini.Mahari yako ni kunichekesha baba mkwe wako siku nzima.

hahahaha nashukuru sana baba mkwe Che,
mi nipo single natafuta bado nashukuru kwa mikono miwili hii ofa nono ahsante sana naipokea tena kwa mikono miwili........naomba unikabidi mwali kabisaaaaaa mapema baba mkwe.
 
Fanya booking unakaribishwa mwali.
hujambo lakini Belinda. Je nikikumiss utanipiga ngumi?

Kama uko Married But Available mimi nakuogopa maana haujielewi! ha ha

Unaweza kummiss mtu usiyemjua hata kwa sura jamani? makubwa na siwezi kukupiga ngumia kwasababu haupo karibu vinginevyo ningekutoa nundus( utani)..

Sijambo, hope nawe mzima!..Siku njema!
 
Fanya booking unakaribishwa mwali.
hujambo lakini Belinda. Je nikikumiss utanipiga ngumi?

teh teh teh atafanyaje booking wakati unakitu ndani tayari au mambo ya mfadhaiko mkuu? Utajuuuuuuuuuuuuuta kuoa mapema twachie wenzio tule.
 
hahahaha nashukuru sana baba mkwe Che,
mi nipo single natafuta bado nashukuru kwa mikono miwili hii ofa nono ahsante sana naipokea tena kwa mikono miwili........naomba unikabidi mwali kabisaaaaaa mapema baba mkwe.

Masikini wee, laiti baba mkwe mtarajiwa angekujua ulivyo!..Anyway tusikuharibie bahati yako, hongera na umtunze vizuri mwali kama utapewa lakini!..ha ha ha
 
Masikini wee, laiti baba mkwe mtarajiwa angekujua ulivyo!..Anyway tusikuharibie bahati yako, hongera na umtunze vizuri mwali kama utapewa lakini!..ha ha ha

shiiiiiiiiiiiiiiiiiii unataka sasa bakuli la dhahabu lipigwe teke wewe! lol nyamaza basi nimepewa ofa, nasubili nyingine nifanye upembuzi yakinifu.
 
na mimi nataka bintiyo mmoja nionje malezi tofauti.
kama kukuchekesha nitakuchorea katuni za kucheka mwaka mzima mkweeee!

Karibu,lakini si umesema umeshaoa japo upo upo,ukimaanisha your ndoa is not working.Labda umuache kwanza huyo ndo umuoe mwanangu,bado mdogo si wakupata frustration mapema kiasi hiki ya uke wenza.
 
Back
Top Bottom