Ajidai kuninyanyulia mkono? Hee, kwani niliolewa kuwa mtumwa wake? Kwanza hathubutu na akijaribu kwanza nahakikisha namfunga na talaka ataitolea jela. Aah babu wee, mwanamke anapigwa kwa khanga.
Sitaki presha wala kusumbuana na wabeijing, maana ukumtandika tu kofi anawahi kwa wanasheria wa kuwatetea haki wanawake. Akilianzisha tu mimi nahamishia kambi Bar, akituliza mizuka yake narudi home taratibu! hamna haja ya makelele