Mwanaume anataka Mwanamke ambaye no matter what atakuwa upande wake kwenye shida na Raha mwanamke mvumilivu.Atamuheshimu maana kuwa maskini hlf mwanamke akuheshimu ni kipaji na wanacho wachache.
Mwanamke anataka mwanaume ambaye atampemda Kama alivyo na ujinga wake wote na kero zake zote..Maana wanaume kuvumilia kero za Wanawake ni kipaji Cha mda mchache kisichodumu milele.
Kwa hivo basi by nature, mwanamke hajaumbwa kuvumilia shida toka enzi hizo wanawake waliolewa familia zenye ng'ombe nyingi,mashamba na chakula.
Na wanaume walioa wanawake ambao Wana tabia njema ,hawana maudhi na wanaheshima.
Point Ni hii ukipata kiumbe ambaye hajazoea shida by nature hlf akakubali kuishi na wewe kwenye shida Basi huyo atakufaa Bora zaidi maana hata ukija pata Mali then ukafulia bado atakuwa wako.Na ukipata anayependa raha huwezijua ukifulia km atakuwa na wewe...