Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,812
- 15,555
Sawa kabisaWife material siyo Sura . Kwanza angalia uwezo wa kichwa & moyo wa upendo. Mwisho mvumilivu.
Haya sura za Instagram na Facebook yatakuwangisha kichwa.
Sawa kabisaWife material siyo Sura . Kwanza angalia uwezo wa kichwa & moyo wa upendo. Mwisho mvumilivu.
Haya sura za Instagram na Facebook yatakuwangisha kichwa.
Kweli kabisa ila kuna ambao ukiupata havumilii anajiangalia alivyo na anavyotongozwa anatafuta sababu ya kusepahakuna mwanamke anapenda umasikini..nikusahihishe iyo sentensi yako uko juu.
Njema kabisa jirani. Kitambo kweliOh,jiranii kwema..hali yako???
dah ni kweli too bad..ila si mm.Kweli kabisa ila kuna ambao ukiupata havumilii anajiangalia alivyo na anavyotongozwa anatafuta sababu ya kusepa
Thread Closed!Sifa kama zangu😎🤓
Nimecheka na sifa za wife material za huyo mkuu hapo juu..."kalio linavyozidi kuongezeka ndivyo uwife material unavyozidi kupanda"Mkuu mbona umecheka![]()

khaa!Nimecheka na sifa za wife material za huyo mkuu hapo juu..."kalio linavyozidi kuongezeka ndivyo uwife material unavyozidi kupanda"khaa!
😊Thread Closed!
Mnoo,..kwema jamaniii??Njema kabisa jirani. Kitambo kweli
🤣🤣🤣🤣🤣Sifa kama zangu😎🤓
haswaaaa!!! kidogo ni wahabarishe umma kuhusu hili.Sifa kama zangu😎🤓
😍🤗😍🤗😍😘haswaaaa!!! kidogo ni wahabarishe umma kuhusu hili.
God is watching you!!!!lol🤣🤣🤣🤣🤣
Awe na hofu ya Mungu.Wewe unafikiri anatakiwa awe na zipi???
Nyie someni sanaSie wenye sura chachu sio wife material eee?
sifa zako ni Zipi hizo?God is watching you!!!!lol
Zipi 🤪zangu😎🤓
Wife material hakimbii ukiwa kapuku au ukiyumba kiuchumi. Anakomaa nawewe na kuchekecha akili huku na kule kuangalia fursa gani itawarudisha kwenye raiti traki kisha anakusanua huku yeye akifanya harakati yeyote ile mradi msavaivu hata kuanzisha banda la mama ntilie fasta kama emergency plan. Anaweza hata kuongea na jamaa kadhaa akakuulizia michongo sehemu nyingine na kipindi chote hiki atakutia moyo sio kukusimanga kwamba huna lolote. She understands unaumia na hali halisi kama mume.Kweli kabisa ila kuna ambao ukiupata havumilii anajiangalia alivyo na anavyotongozwa anatafuta sababu ya kusepa