Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Akiwa na sura mbaya ila anasifa zilizosalia u wife material unapungua?Wife material anapimwa kwa vitu vingi na awe tayari kuishi maisha ya hali yeyote. Siyo kwenye good life awe poa ila ukishuka kiuchumi asepe!
Kwanza awe mzuri wa sura na akili na upendo wa dhati na hofu ya Mungu! Hii combination ikikubali mtafurahiana maishani mwenu na Mungu atawasaidia.


