Hakuna mwanamke ambaye sio wife material

Apr 28, 2022
17
8
Nimekuwaa nikitafakarii sana na kufanya uchunguzi kuhusiana na dhana ya "Wife material" Nimekuja kunguduaa kuwa wanawake wote ambao Wana akili timamu ni wife material inategemeana tu na Mwanaume aliyemuoa,,Wife material wa mwanaume X kutoka mkoa X hawezii kuwa Wife material akiolewa na Mwanaume Y kutoka mkoa Y,ili uweze kupata wife material lazma mwanaume uzingatie mambo yafuatayo;

1. Hakikisha mwanaume unakuwa mwenye Hadhi kubwa kulko mwanamke namanishaa umzidii(pesa na kiwango cha Elimu)

2. Mazingira anayotokea mwanaume yanatakiwa kuwa mazurii au yafanane na ya mwanamke anayotoka

2. Hobby na mitazamo yenu inabidii ifanane kama unaoa msichana anaependaa kwenda disco inabidii na ww uwe unapenda kwenda disco

3. Angalau tamaduni zenu ziwe sawa

4. Dini yenu iwe moja.

NOTE;Ukiwaa na Pesa za kutosha kila mwanamke ni wife material.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom