Wife material

Wife material

Wife material anapimwa kwa vitu vingi na awe tayari kuishi maisha ya hali yeyote. Siyo kwenye good life awe poa ila ukishuka kiuchumi asepe!

Kwanza awe mzuri wa sura na akili na upendo wa dhati na hofu ya Mungu! Hii combination ikikubali mtafurahiana maishani mwenu na Mungu atawasaidia.
Sie wenye sura chachu sio wife material eee?
 
Ndege hufananao ndiyo huruka pamoja...

Mwanaume masikini lazima amuone mwanamke ambae hapendi umaskini kama anasa... na siyo wife material...

Ila kama unajiweza, mwanamke anayechukia umasikini lazima umuone ndiyo wife material...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom