Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Acha uogaHaya mabalaa yatupishe mbali
Acha uogaHaya mabalaa yatupishe mbali
Huko unakoelekea....Weee Equation x em tuambie wifi yetu anafananaje?
Chibonge au kipotabo?
Ila jamani miaka 40 kumuita wifi naona kama namkosea heshima eti, me nitakua namuita shangazi au mamdogo bana![]()

Huyu ni msaidizi pale ninapokuwa mbali na familyWw si ulisema umeoa.
Wife matirio mambo?Mbona hamuelewek sasa mara huku Kuna mabibi wengine Kuna single mother wengine humu wote ni wanaume tushike lipi 😀😀😀
Nivute mkono nisiende mbali usiku huu nisije kupotea mie😂Huko unakoelekea....![]()
😂😂😂Shangazi ndio imekaa poa na kumvesha kimini mwenzie ndio amenichosha ila wifi alijiongeza😀😀😀Weee Equation x em tuambie wifi yetu anafananaje?
Chibonge au kipotabo?
Ila jamani miaka 40 kumuita wifi naona kama namkosea heshima eti, me nitakua namuita shangazi au mamdogo bana😂😂
Utaacha wangapi, sukuma ndani 😀😁 mkuu kumbe huyu deborah wangu nisimuache?
Labda waifu matirio sio wife material😂😂😂Wife matirio mambo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣shangazi inapendeza zaidiWeee Equation x em tuambie wifi yetu anafananaje?
Chibonge au kipotabo?
Ila jamani miaka 40 kumuita wifi naona kama namkosea heshima eti, me nitakua namuita shangazi au mamdogo bana😂😂
Kwa nini usilale kwa amani?Unajua nipo navuta picha hapa.
Kwanza atuambie ni mnene au mwembamba?
Ili nivute picha vizuri la sivyo sitalala kwa amani
Unataka kumuita shemeji 'shangazi' jina lenye umaarufu mbaya hapa jf ??Nivute mkono nisiende mbali usiku huu nisije kupotea mie![]()

Au tuite shangazi wifi😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣shangazi inapendeza zaidi
Nitalifanyia kazi mkuuUtaacha wangapi, sukuma ndani 😀
Chezea umri umesonga af umeopoa kimasihara😂😂😂Sjangaxi ndio imekaa poa na kumvesha kimini mwenzie ndio amenichosha ila wifi alijiongeza😀😀😀
Shangazi shemeji 🤣 au mamdogo shem/wifiAu tuite shangazi wifi😀
Eeh imekaa bomba sana😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣shangazi inapendeza zaidi
Ningesema kitu lkn wanga wengi humu😂Labda waifu matirio sio wife material😂😂😂
Huwezi elewa yaaniKwa nini usilale kwa amani?
😂😂Shangazi ni noma Hadi nduguyetu kaja kusalim amri mambo sio mabaya kwakweli tuchukue maujuzi tuwe wahifu matirio 😂😂😂Chezea umri umesonga af umeopoa kimasihara
Aah hata ningekua ni mimi ningempashia moto hadi maji ya kusukutua asubuhi mbona😂😂
Shost tuchukue maujuzi wa shangazi ohoo🤣