Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Aiiii🤣🤣Depalih is typing
Aiiii🤣🤣Depalih is typing
😂😂Ila kweliAsa week 2 zote hizo, lazima liwe sugu hata kama limeingia kwa mwili mpya🤣
Famchezo nini
Wife material kipaji nduguKumbe haipo 😅
Utaki kuonekana waifu material
Nakiona kwako ila jina litakukataa ongeza h mwishoni 😂Wife material kipaji ndugu
Wee linahama hivohivo na usugu wakeIla ndugu mwenye lililo sugu akimpa mwenzie anaepewa si ndo linaanza kuwa jipyabadae ndo litakuwa sugu
likikukuta umekaa vibaya linakuzika
Ndo maana nikasema unitagPoa mkuu ila ni adimu
sina Imani kabisa
😀😀Afadhali tuwe wengi wengiDepalih is typing
😂😂😂 na kaka amesema hamuachi huyu shemeji leo wala keshoMiak 40 aisee 😀kwanza amuite nimuamkie then tujue anafit wapi 😂
Halicheleweshi 😂Wee linahama hivohivo na usugu wakelikikukuta umekaa vibaya linakuzika
![]()
😀 😀 😀Asa week 2 zote hizo, lazima liwe sugu hata kama limeingia kwa mwili mpya🤣
Famchezo nini
Equation x ndio kashaamua kutusagia kunguni tusio na h mwishoniNakiona kwako ila jina litakukataa 😂
Chidada wake 😀😀😀 wa kufa na kizikana😂😂😂 na kaka amesema hamuachi huyu shemeji leo wala kesho
Wanasema 'sukuma ndani'Jina likiishia na h tayari umekizi vigezo depalih 😂
Umpe heshima yake sio🤣🤣Miak 40 aisee 😀kwanza amuite nimuamkie then tujue anafit wapi 😂
Kama hulagi machungwaHalicheleweshi![]()
tayari....Kwa huyu mrembo niliyempata humu; nathibitisha, humu ndani bado kuna 'wife material'
Mnavyojua tena, sisi wazee mara nyingi huwa tunapenda warembo wachangamfu, wasio umiza vichwa , na wanao jitambua; siku moja wakuu, kuna mrembo mmoja alinivutia sana kutokana na namna anavyojenga hoja hapa jukwaani.
Nikajaribu kumpima kwa akili yangu ndogo, nikaona huyu atanifaa katika kubadilishana mawazo hapa na pale, pamoja na siku moja moja kwenda kutembelea shamba langu la mpunga huko kijijini.
Ikabidi nimfuate ndani ili kuthibitisha upeo wake wa kujenga hoja, kweli alikuwa chwan ''smart'' kichwani. Tukabadilishana abc, na hatimaye ikatulazimu mmoja wetu kusafiri na kumfuata mwenzie.
Kweli sijutii, ni mzuri wa umbo na sura, elimu na upeo wa kufikiri pia uko juu; ama kweli ana-fit kuwa na Equation x.
Akiamka asubuhi, ananipasia nguo, anapika chai, ananinywesha, anafanya usafi wa nyumba, anafua, ananivalia nguo za mitego mitego huku akitabasamu usoni; kwa wiki hizi mbili alizokaa kwangu, nathibitisha huyu ni 'wife material'.
Tumejikuta wote kwa pamoja tumeongezeka mwili na tumeng'ara kutokana na wote kimtazamo kufanana; ni mtu mzima kidogo 40yrs. Amezidi kunipa furaha na thamani zaidi katika haya maisha.
Kuanzia leo nampandisha cheo kutoka kuwa mchepuko na kuwa bi mdogo; hapa nilipo naandaa bajeti ndogo angalau katika sikukuu hizi, tupeane kampani zaidi.
Popote ulipo, jina linaishia na h; Equation x hategemei kukuacha leo wala kesho.
Huo ndio ushuhuda wangu, 'wife material' wapo humu.
Yah, hakuna namna, muhimu ni kufurahia maisha pale panapowezekanaVema.
Haya endelea kula raha, maisha ndio haya haya
Kwanza utakuaje mwanaume kamili bila kuumwa gono sugu?😀 😀 😀 mbona mnatutisha
Kama inalipa badili matazamio ya wife material kwa sasa ni majina yanayoishia na hEquation x ndio kashaamua kutusagia kunguni tusio na h mwishoni
Au nibadili jina nini? Niwe wife material na mimi, unaonaje?