'Wife material' wapo humu!

'Wife material' wapo humu!

🤣🤣🤣 Af mara ya kwanza tu kuonana, kagoma kurudi adi kashafikisha week 2

Kwahyo shangazi alienda na shangazi kaja au blaza alimnunulia nguo zingine. Au hayatuhusu😂😂
Kwakweli wiki mbili naona Alienda na shangazi kaja Ili apate malezi vizuri ya wifiyetu na chaajabu pamoja na wiki mbili zote kasema atarudi 😭Tena safar hii tumshauri ahamie tu😂😂
 
Chezea umri umesonga af umeopoa kimasihara

Aah hata ningekua ni mimi ningempashia moto hadi maji ya kusukutua asubuhi mbona😂😂

Shost tuchukue maujuzi wa shangazi ohoo🤣
😀 😀 😀
 
Kwakweli wiki mbili naona Alienda na shangazi kaja Ili apate malezi vizuri ya wifiyetu na chaajabu pamoja na wiki mbili zote kasema atarudi 😭Tena safar hii tumshauri ahamie tu😂😂
Hakika shangazi hakwenda kucheza😂

Nimempenda, maana hadi mtu anakuja kushuhudia manake anapewa huduma nzuri.

Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama shangazi wifi🥰😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom