Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,660
😂 leniehMlikumbuka kupima lakini?
Kuna watu wana gono sugu huku, usije na uzi wa kulia kesho...
😂 leniehMlikumbuka kupima lakini?
Kuna watu wana gono sugu huku, usije na uzi wa kulia kesho...
Ameen hakuna namnaMnapendwa ringeni 😂
Sema Amen 😂
Haya majina yanayoishia na h, ukianzisha uhusiano hubanduki.Naona mna nyota ya uwife material hii sio thread ya kwanza kuwahusu na haitokua ya mwisho.
Baada ya muda natabiri kutakua na majina mengi yanayoishia na h 🤣
AmeenAll the Best
We muache atakuja kusuka uzi wa kilio hapaMlikumbuka kupima lakini?
Kuna watu wana gono sugu huku, usije na uzi wa kulia kesho...

😂😂😂Mlikumbuka kupima lakini?
Kuna watu wana gono sugu huku, usije na uzi wa kulia kesho...
Itabid nitafute anaeishia na hAmeen hakuna namna
Ngoja nifanye yafiti huenda ni kweliHaya majina yanayoishia na h, ukianzisha uhusiano hubanduki.
mleta uzi kasema bidada ana miaka 40, vipi tumuweke kundi gani hapoo madam? 😀Mbona hamuelewek sasa mara huku Kuna mabibi wengine Kuna single mother wengine humu wote ni wanaume tushike lipi 😀😀😀
Ndio mkuuMlikumbuka kupima lakini?
Kuna watu wana gono sugu huku, usije na uzi wa kulia kesho...
Ukimpata nitagItabid nitafute anaeishia na h

Kumbe haipo 😅Abee...
Hiyo h usinisingizie tasavali😂
Ila ndugu mwenye lililo sugu akimpa mwenzie anaepewa si ndo linaanza kuwa jipya 😂😂😂badae ndo litakuwa suguMlikumbuka kupima lakini?
Kuna watu wana gono sugu huku, usije na uzi wa kulia kesho...
Atajua hajui😂We muache atakuja kusuka uzi wa kilio hapa![]()
Poa mkuu ila ni adimuUkimpata nitag![]()
Asa week 2 zote hizo, lazima liwe sugu hata kama limeingia kwa mwili mpya🤣Ila ndugu mwenye lililo sugu akimpa mwenzie anaepewa si ndo linaanza kuwa jipya 😂😂😂badae ndo litakuwa sugu
Jina likiishia na h tayari umekizi vigezo depalih 😂Depalih is typing
Miak 40 aisee 😀kwanza amuite nimuamkie then tujue anafit wapi 😂mleta uzi kasema bidada ana miaka 40, vipi tumuweke kundi gani hapoo madam? 😀