Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Aunt in-law.... Af kwa kizungu ndio inakaa vema 🤣😂😂hivi shangaz wifi Kwa kiingereza itakuaje
Aunt in-law.... Af kwa kizungu ndio inakaa vema 🤣😂😂hivi shangaz wifi Kwa kiingereza itakuaje
😀 😀 😀Atakuwa cocasticah aliye tengenezewa uzi wa kuondolewa jf🤣🤣🤣
Abiria chunga mzigo wako 😀 😀 😀Sema tu hakuna shida au umekutana na h na wew😀
Akupe mikobayake ya kazi bila kusahau mafile yote😀😀Hakika shangazi hakwenda kucheza😂
Nimempenda, maana hadi mtu anakuja kushuhudia manake anapewa huduma nzuri.
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama shangazi wifi🥰😂😂
Kabisa, asiache hata kimoja😂😂Akupe mikobayake ya kazi bila kusahau mafile yote😀😀
ha ha ha ebu fafanua kidogoAna umri wa shangazi yangu mkubwa
Ni mkubwa sana kwangu yaani ananizaa akiwa anakimbia marathonha ha ha ebu fafanua kidogo
ha ha ha kwa nini?Hapo ulipounamadem kibao
Unanitafutia balaa ww
Bila kusahau wifi najua anapita humu atusamehe tunatania atulelee kakaetu wakamalizie uzee 😀Equation x umuoe huyo shangazi, sio mtu wa miaka 40 kaacha shughuli zake kakufata wewe af uje umchezee tu utapata laana
Ebu njoo huku upate tuition kidogoHakika shangazi hakwenda kucheza😂
Nimempenda, maana hadi mtu anakuja kushuhudia manake anapewa huduma nzuri.
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama shangazi wifi🥰😂😂
Muhimu sarakasi tuAkupe mikobayake ya kazi bila kusahau mafile yote😀😀
Sisi tunampambania sana, awekwe ndani👌Bila kusahau wifi najua anapita humu atusamehe tunatania atulelee kakaetu wakamalizie uzee 😀
Abee😂Muhimu sarakasi tu
HakikaSisi tunampambania sana, awekwe ndani👌
Kakaetu najua hapo kashafika sasa kazi kwa shangazi wifi kumpa tulizo la moyo
Muhimu kupeana raha tu mpaka uzeeni hakuna kuzaa; ndoa tayari ninayoEquation x umuoe huyo shangazi, sio mtu wa miaka 40 kaacha shughuli zake kakufata wewe af uje umchezee tu utapata laana
😂😂😂Sarakasi tena jamani, je nikivunja uti wa mgongo hasara kwa nani🤣🤣